Nilikupenda sana mke wangu, sikujua kama ningeharibu ua kwa kulimwagilia maji mengi

Safi sana, mkiambiwa mtafute hela mnalinganisha ya kale na sasa, mke anataka matunzo yakheee

Safi sana, mkiambiwa mtafute hela mnalinganisha ya kale na sasa, mke anataka matunzo yakheee
Mbona hadi wenye hela wanagongewa? Unafikiri wanawake mna cha maana mnachoridhika nacho hapa duniani? Tukiwachoma kwa magunia ya mkaa mtalalamika?
 
Nyie mnajua mbona nimekuwa mtumwa wa umarioo? Nilitendwa mara kadhaa na hawa vibinti vidogo vidogo mpaka suruali zangu zote zilikuwa zinanipwaya!!! Sikuhizi nkikaribia kukutana nao nasepa kisa wananipa kichefuchefu mno!!! Lakini Mungu ni mwema niliangukia mumama ana pepo ya upwiru baada ya lisaa ana ugwadu, poleni makapera na wajane..........naenjoy sasaiv natizama televisheni ananipikia kitimoto ikifika usiku ni chombezo
 
Mmnh
 
bado unahasira punguza hasira ufikishe ujumbe mzuri kwetu.
pole naamini unacho ulichojifunza pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…