Nawashukuru sana mlionipa ushauri humu mbarikiwe, nimesikia moyo wangu umepata dawa na uso wangu sasa umenyooka kwa tabasamu
ahahahahhah hakyamama sikuwahi kujua wananyamwezi mmeniwekea charm namna hii!
ujue Ablessed nilikuwa namzimikia tu siku nying sikujua kuwa ni mnyamwezi!
ehhhehehehheh yu guys niwekeeni maji kidgo basi!hamnitedei haki kwa kweli!
Da sophy atawafundisha watoto watapata mia wote, afu watatuibiaje vibuzi vyetu.
Leo sio siku ya vita best, yaani maneno ya mke wangu yamenigusa sana...
Sipo tayari kuukosa ubavu wangu wakati ninadhani nimepewa nafasi ya kuweza kurekebisha...
Najua mke wangu ananipenda sana na ndio maana kaamua kutumia nafasi hii ya mwisho akiamini labda nitageuga na kutubu...
Mkunde Original mama wa mtoto wetu hebu rudisha moyo nyuma...
umesahau wanafunzi ni HARDCORE MEN nahisi.
Mkunde Original...nadhani message sent..delivered..read..
Kwani "Mkunde" lina maana gani???
Yaani si utamfanya mkunde originl atulaani sisi tunaomlaum kuja kukutaliki hapa jf kama atlast hii njia imework kuulainisha moyo uliogoma kwa 3 good yrs
huu sasa uchokozi....enhee!af headmistress awe cacico Fixed Point awe nani hem mtafutie cheo
Maana yake MPENDE AU MPENDWA inategemea ni kabila gani limetokea ila kwa mimi kwa kabila lililotoka maana yake MPENDE.
Ni muha, mtusi, au mrundi?
Wewe ingia tu mwenzio anatoka na wewe wataka kuingia leo leo karibu na wewe hujaribu nyota yako:smile-big: kama mwenzio ameishi naye miaka 2 basi hata mwaka 1 wewe hutomaliza
ha haa, rafiki hii kazi unayonipa sijui imeanzia wapi? maana nasoma kwenye mention tu....Fixed Point ndio alifaa kuwa mama malezi; weye mwalimu wa misosi, Da Sophy mwalimu wa sexology
hivi mkunde ni mnyamwezi?
Mimi nilifananisha na mkude (mji kasoro bahari)
Mkunde si mmea jamani? Au?
tena kaja vizuri..... umeona eeeh!Bora umekuja.