Nilikupenda sana...


Kwakweli nimekuja hapa kutua ambayo nilitaka kuyatua kwa baba mtoto ni mume wangu wa ndoa ila nimeona nazidiwa kazi sizifanyi vizuri, moyo wangu somehow ulishakufa ganzi hauna hasira tena wala haujali kwakuwa nilishafanya rescue nyingi na hakuna iliyozaa matunda. Hata wanaofanya utani sina la kuwafanya wala kuajibu zaidi ya kuwapita tuu.
 

yani kama vile sisi tusivyopenda wale sijui ndo tunawaita mamas boy hata wanaume hawapendi papaz girl
unaweza kuamini hupendwi hujaliwi hufanwyi nini sijui kumbe mtu tu anataka a grown up woman in you!\

ila,
historia ya bidada na yenyewe has some charm on this !
huyu mamii mama yake alimwacha akaolewa na mudhungu,AKAJIHISI KUKATALIWA
huyu mamii akalelewa na bibi,bibi wa watu wacha adekeze,hajakaa vizuri bibi akafariki maskini,AKAJIHISI AMEACHWA
huyu mamii aliona labda awe na mwenza,mwenza nae ndo hivyo hardcore ,AKAAMINI HAPENDWI
huyu mamii aliamini familia ya mumewe itakuwa ya kwake,kauta familia ni melanchony kuliko maelezo,AKAHITIMSHA HANA THAMANI
(angalia namna anavyokomaa na mwanae,sijasema ni mbaya)MAANA NDIYE ANAAMINI NI WAKE PEKEE
 

a kerbu ya maana will also do!
what dyu think!?
 

sasa kama umenielewa msome vyema Kongosho kisha rui anza kuyafanyia kazi haya. wewe uliwa hivyo hivi unategemea mwanao aweje si atakuwa kuzidi wewe??

manake imebii nicheke mama anatoa talaka mtandaoni mtoto si atatolea talaka gazetini??
 
Last edited by a moderator:
kama hakuhangaika wakati upo nyumbani,ukiondoka ndio atahangaika!!!!!!

kama ulimwambia mkiwa nyumbani,then kwa sim the Message was sent and delivered
Mkunde Original hukuwa na haja ya kuja huku,usijitese zaidi mateso aliyokupa yanatosha.....

nimelazimika kufanya hivi maana kunawakati unamtumia message hazisomi na kama ilikuwa ni taarifa baada ya wiki anakwambia kwanini hukuniambia kuhusu hili kumbe meseji hasomi so nimetumia njoa zote ili kama moja itafail basi nyingine zitawork, nime tumaini hivyo.
 
Ukiondoka nitakukata makofi ujue? Mie namaliza wino kukushauri hapa, unadhani unanilipa?

mimi pia nimetamani nimkate kibao!YANI ILA WADHUNGU wanasema A SLAP!
PAAH!
af nimkalishe chini!\
daadeki zake anafikiri sisi hatuna hao waume tunaopishana nao mitandaoni na kubaki kuwamwagia likes tuu atleast ajue umemuona !alah!
 
kufanya utani kwenye shuhuli ya mwenzio masihara hayo, vile tuu mie sijui kugombana wala ingekuwa baba mtoto wangu angeshakukata mitama. Punguza utani mwenzio niko siriasi.

Pole ndugu japo sidhani kama maamuzi uliyochukua ni sahihi sana, huenda ni mambo mawili matatu yanayohitaji wenye hekima na hata viongozi wa kanisa kuyamaliza ila nyie mmefunga milango yote ya mawasiliano na hivyo mnashindwa kuelewana. Pia nakushauri umpe mungu nafasi ya kuibadilisha ndoa yako kwa kumwomba.
 
af we mkubwa ujue!
 
Natamani ningejua malezi ya mumewe ili kuweza kuwafanyia analysisi ya emotional stability.

Au mumewe angekuja hapa naye akatoa yake ya moyoni, tatizo huyu dada anadhani yeye yuko perfect na hamkwazi mumewe. Kutoshinda home ni dalili kubwa ya kukosa kitu fulani home.

Kingine hata njia zake za kutatua matatizo ni kuzira na kukimbia badala ya kukabiliana na kuliongelea tatizo. Imagine mtu hawezi hata kumface mmewe kumwambia anaondoka home? Anakuja kumuagia jf? Low self esteem ya hali ya juu sana.

Lakini huyu anahitaji kukalishwa na mtu na kuwa trained, aondolewe hayo mawazo ya kitoto kitoto yaliyomjaa na awekewe kichwani reality. Anatakiwa ajue ndoa sio ku du tu na kupelekana guest, kunakutafuta chakula na kutolelewana pia.

Anaishi maisha ya mtu wa miaka 17 at 30.

 
Ha ha ha, najua mie kiazi.
Ngoja nimkuze huyu mkunde hadi awe mchicha feki.

Ha ha, nikupe siri kwa nini nimeamua kumpa ukweli huu? Kuna kitu amenigusa, ukitaka kujua just hola.

mi mwenyewe kanitachimo! we acha tu
 
Yes, ana challenges za makuzi sana

Na ndio maana nashawishika kusema mchawi wa ndoa yake ni yeye mwenyewe.

She is just too emotional, wengine huwaita love sucker, sababu labda ya aina ya makuzi na rejection anayoihisi around her.


Lazima kwanza ajifungue kwenye chains za rejection kiakili ndio aweze kuwapokea watu wengine kama nduguze.

 
kuwa mwanamke umeskia?? na sio uwe mschana.
ndo mana kifua chako kina manyonyo mawili hayo yanakuongezea nguvu ya kustahimili. ningelikuwa ni mimi nigetuliza akili yangu nikamwita Mungu nikamuuliza niani hatma yangu akiniambia sepa basi taratibu tena pasi hata jiran kujua nasepa akisema nitambadilisha basi namwabia rekebisha ma here for him.

acha ueki na uneng'ene acha kujiona huna msaaa na kwamba umesukumiwa kwenye kichaka cha miiba. amka uwe active kwaajili hata ya mwanao. usione watu wanakushauri wengine tuna experience mbaya kuliko hizi na still tumesurvive na sasa tuko paradiso
 

Aliniapproach moja ya jumapili baada ya ibada na ilinichukua miezi sita kusoma na kumkubalia ombi lake. tulikuwa marafiki kwa miaka miwili na mwaka wa tatu tukaoana na maisha ndo yakaanza hapoo.
 
very clever akiri za kuzaliwa mhimu....! karuka mkojo ngoja akanyage mavi aone uchungu wake!
Na mie mke mwenzio leo ndio nahamia rasmi mjengoni,ukinyanyuka tu wenzio twakaa so usije ukabadili mawazo ati
 
Haisaidii kama hushirikishi na akili za kichwani unazozipata kwa kufunga huko. Ni sawa na kuumwa malaria afu ukafunga tuu wakati Mungu kawaonesha binadamu paracetamol na metakelfin. Use your brain, ulipewa for free, utilise it.


Ila unahitaji experience pia ya kufanya maamuzi na kuwa hardcore kama mmeo.

Kila jumatatu na alhamis huwa nafunga na kufanya maombi ya faragha kwa ajili ya ndoa yangu huu mwaka wa 4 sasa.
 
acha akiri za kujifunza ebu apply za kuzaliwa bora ukanyage mkojo kuliko mavi akiri kumkichwa!
Aliniapproach moja ya jumapili baada ya ibada na ilinichukua miezi sita kusoma na kumkubalia ombi lake. tulikuwa marafiki kwa miaka miwili na mwaka wa tatu tukaoana na maisha ndo yakaanza hapoo.
 
Mwanamme hata akutongoze kwa miaka 10, ukimkubali tu na kuishi pamoja lazima migongano itakuwepo. Youn can't eliminate conflicts, but you can manage conflicts.

Aliniapproach moja ya jumapili baada ya ibada na ilinichukua miezi sita kusoma na kumkubalia ombi lake. tulikuwa marafiki kwa miaka miwili na mwaka wa tatu tukaoana na maisha ndo yakaanza hapoo.
 
natafuta mke anayenipenda kwa mabaya yangu maana mazuri yangu kila raia hapa duniani anayataka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…