Nilikutana na Mdada anayekula vichwa 10 kwa usiku mmoja, alisema nyama kwa nyama inauma sana.

Nilikutana na Mdada anayekula vichwa 10 kwa usiku mmoja, alisema nyama kwa nyama inauma sana.

Haiishi kwa wewe tu pekee, ila unayoyafanya wewe yote nae atayafanya🤣🤣🤣... Kama unabisha wewe nenda kamfuatilie kwa ukaribu yule msichana ambae ukiwa nae unabehave tofauti sana, kwa maana Kila kitu kwake unakifanya kwa namna chanya tofauti na unavyofanyaga ukiwa na wengine, hata ukiwaza kuoa yeye ndio huwa anakuja wa kwanza kichwani mwako(huyu ndio msichana ambae anatoka kwenye kundi la wasichana ambao wako na muunganiko na wewe)

Watu wa namna hiyo wanapokutana huwa wanakua na vitu vingi in common, kwahiyo hata mambo mengi ambayo wewe utayafanya kwa siri kaa ukijua na yeye atakua anayafanya kwa siri.

Kama huwa unatabia ya kuchat na kufuta ili usikamatwe, Kaa ukijua na yeye huwa anachat na kufuta ili usimkamate.

Pindi utakapoamua embu ngoja niache zangu ujinga nitulie nae ataamua hivyo hivyo😂😂😂.

Hata idadi ya wanawake ambao wewe umetembea nao huwa haipishani sana na idadi ya wanaume ambao yeye ametembea nao au ambao atatembea nao ili kuufanya ule mzani ukae sawa kwa maana ya ile perfect combo iwe solidified 😅😅.
Hii imeenda 😂
 
Ndani uta repair 😝
1741443301956.jpeg

How do you repair 'why can't I find a good man' stage???
 
Haiishi kwa wewe tu pekee, ila unayoyafanya wewe yote nae atayafanya🤣🤣🤣... Kama unabisha wewe nenda kamfuatilie kwa ukaribu yule msichana ambae ukiwa nae unabehave tofauti sana, kwa maana Kila kitu kwake unakifanya kwa namna chanya tofauti na unavyofanyaga ukiwa na wengine, hata ukiwaza kuoa yeye ndio huwa anakuja wa kwanza kichwani mwako(huyu ndio msichana ambae anatoka kwenye kundi la wasichana ambao wako na muunganiko na wewe)

Watu wa namna hiyo wanapokutana huwa wanakua na vitu vingi in common, kwahiyo hata mambo mengi ambayo wewe utayafanya kwa siri kaa ukijua na yeye atakua anayafanya kwa siri.

Kama huwa unatabia ya kuchat na kufuta ili usikamatwe, Kaa ukijua na yeye huwa anachat na kufuta ili usimkamate.

Pindi utakapoamua embu ngoja niache zangu ujinga nitulie nae ataamua hivyo hivyo😂😂😂.

Hata idadi ya wanawake ambao wewe umetembea nao huwa haipishani sana na idadi ya wanaume ambao yeye ametembea nao au ambao atatembea nao ili kuufanya ule mzani ukae sawa kwa maana ya ile perfect combo iwe solidified 😅😅.
 
Si vibaya tukawa tunashare stori za hapa na pale. Zinatuwezesha kujifunza lakini pia kutupa Burudani.

Mwezi uliopita nikiwa katika Mishe mishe zangu nza kusaka Maisha nikiwa nimebeba mafaili ya No Reform, Poor Election.

Basi nikakutana na Dada Mzuri tu alikuwa kavaa Baibui, Mweupe Kiasi.

Pale pembeni walikuwepo Wanawake wengine wawili wanaonekana na umri under 30.

Kwa kuwa nilikuwa pia mawindoni Bi Dada alinielewa nilichoniweka pale. Japo nilikuwa nimepita kuweka Oild Tumboni Nipate Fuele ya Energy.

Dada nikamsalimia maongezi hakaendelea. Alikuwa mzuri kiasi hana baya.

Basi wale wadada wengine wakaondoka, mhudumu akajisemea mbona hao wadada wanaongea stori chafilu chafu tu? Dada huyu ambayw kashkua rafiki akadakia, Wanajiuza hao. Hawana Lolote ni Malaya tu.

Nami sikuacha stori iendelee hivi hivi, nikasema mbona wazuri hao na tena bado wadogo wanashida gani?

Dada Rafiki Yangu akasema, wanahangaika tu hata mimi nilifanya sana hizo kazi. Na wao watachoka tu wataziacha. Hazina faida zaidi ya kuchoka tu na kudhalilisha utu wako.

Unasikia Kaka? Mimi Eeh? Yaani enzi zangu mimi usinione hivi hizo kazi nimefanya sana.

Nilikuwa Mkoa wa Mtwara, kule nilikuwa nalala na vichwa hata 10 kwa usiku mmoja. Asubuhi natoka na maumivu sana. Tena afadhali kama umetumka kondomu i a mafuta mafuta. Lakini Nyama kwa nyama inauma sana.

Kuna Wakati unakutana na Mwanaume ana siku nyingi hajafanya harafu anataka nyama kwa nyama aisee....inauma sana.

Mipango yangu kichwani ya mawindo ilikata ghafla kama umeme wa Tanesco. Kidudu kilisinyaa, nikajawa na mawazo kichwani. Huku niki imagine inawezekana vipi Mwanamke kulala na wanaume 10 kwa siku?

Wakati nawaza hayo, akajisemea. " Sasa hivi nimeamua kutulia, nawaza nitampata wapi Mwanaume wa kunioa, Heri Niolewe tu na mimi nipate wangu. Maisha magumu.

Aisee.

Kama ni Wewe ungefanyaje hapo?

Nawasilisha

À Bion̈tot, bonjournée
Iseee malaya nae anandoto za kuwa mke..jamani dunia hii!
 
Back
Top Bottom