Lastmost
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 802
- 919
Nimecheka kwa sautiNilishawahi kudanganya hela ya mock ni ni shilingi elf 40 kumbe ni 10.Siku ya siku namuona bibi anakuja shule.Nilitimua mbio hizoo( nimesoma day).Shuleni nikatangazwa nimekula hela za mstaaafu.