Nilikuwa Gumzo shule nzima baada ya kutumia hela ya ada

Nilikula hela ya mtihani 30k,nikiamini ntairudishia mana kuna bro aliniahidi atanipa,baada ya kula hela mishe ikagoma,kila kitu kikawa kinafeli.

Iliniokoa kamali,
 
Bwege kabisa wewe, yani hadi unafika sekondari lakini haujui kutofautisha L iwe wapi na R ikae wapi shenzi wewe
 
Nilikula hela ya mtihani 30k,nikiamini ntairudishia mana kuna bro aliniahidi atanipa,baada ya kula hela mishe ikagoma,kila kitu kikawa kinafeli.

Iliniokoa kamali,
😁😁😁😁😁
Betting kitambo
 
Nilishawahi kudanganya hela ya mock ni ni shilingi elf 40 kumbe ni 10.Siku ya siku namuona bibi anakuja shule.Nilitimua mbio hizoo( nimesoma day).Shuleni nikatangazwa nimekula hela za mstaaafu.
Ulikimbia nin
 
Mzee alikuwa ana challange kila mchango anaouona kwenye karatasi. Utasikia "hii sidaiwi"," hii nimelipa", "hapa iliyobaki ni hii na hii". kwa kibano kile nilikuwa sina hata ujasiri wa kumbambikia hata mia.
 
Mzee alihakikisha unacheza beki usilete mashambulizi mbele,mzee alikuwa makini na pesa zake safii
 
Back
Top Bottom