Nilikuwa Gumzo shule nzima baada ya kutumia hela ya ada

Hahaha jomba ulitisha,bibi inaonekana ulimtesa Sana,Mara ela za test tube
Bibi alikuwa mfuatiliaji sana wa shule ingawa hakusoma kabisa( hajui kusoma wala kuandika).Kuna mjomba wangu alijitia ngumu.Alikuwa anaenda shule daily asubuhi na mchana mpaka jamaa anamaliza la saba na alichana vibaya sana.Mimi nilifaulu kwa second selection akili za kuchomelea😀😀😀
 
Kura bata na hera za ada ilikua noma sana mkuu.
Nilianza kula ada ya shule darasa la tatu kama sikosei, nilichezea stick na kushinda njaaa.. 🤣🤣🤣 kuja secondary nishakuwa expert chuo ndio kabisa hadi chuo nikawapiga tukio na home kwa wakati mmoja. Bakula boom, nakula ya nyumbabi nikawaambia sina boom, chuo nikaunda receipt fake
 
Nilishawahi kudanganya hela ya mock ni ni shilingi elf 40 kumbe ni 10.Siku ya siku namuona bibi anakuja shule.Nilitimua mbio hizoo( nimesoma day).Shuleni nikatangazwa nimekula hela za mstaaafu.
Eh hadi kwa Bibi😂😂😂
Mkuu salute una huruma
 
Hahahah ela ya ada Ina kama kauchawi,Kama hauna huakika wa kureplace usiguse ata shilingi kumi,ukigusa tu imekula kwako,itaisha bila kujua
Mkuu kweri kabisa ukichukua tu ata sh Mia basii inaisha hivhiv
 
Nilianza kula ada ya shule darasa la tatu kama sikosei, nilichezea stick na kushinda njaaa.. 🤣🤣🤣 kuja secondary nishakuwa expert chuo ndio kabisa hadi chuo nikawapiga tukio na home kwa wakati mmoja. Bakula boom, nakula ya nyumbabi nikawaambia sina boom, chuo nikaunda receipt fake
Mkuu we nomaaa😂😂
 
Bibi alikuwa mfuatiliaji sana wa shule ingawa hakusoma kabisa( hajui kusoma wala kuandika).Kuna mjomba wangu alijitia ngumu.Alikuwa anaenda shule daily asubuhi na mchana mpaka jamaa anamaliza la saba na alichana vibaya sana.Mimi nilifaulu kwa second selection akili za kuchomelea😀😀😀
Bibi alijua ukisoma utamsaidia
 
Nilisoma shule ya bweni mbali na home! Nilikuwa naohopa sana kula ada au kurudishwa ñyumbani kwa kusimamishwa kwa kosa lolote! Maaaa hiyo nauli ya kuja shule tu mtihani..
 
Back
Top Bottom