zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
Hahaha wewe jamaa Kama nakujua vile,jamaa yangu mmoja ilikua hivi hiviNilianza kula ada ya shule darasa la tatu kama sikosei, nilichezea stick na kushinda njaaa.. 🤣🤣🤣 kuja secondary nishakuwa expert chuo ndio kabisa hadi chuo nikawapiga tukio na home kwa wakati mmoja. Bakula boom, nakula ya nyumbabi nikawaambia sina boom, chuo nikaunda receipt fake