Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

Hao mitume wetu akina Mwamposa na Geodavie watatusaidia maana mungu hamtupi mja wake
 
Dr. Una mtazamo gani kuhusu serikali kufanya matumizi ya anasa kila mwaka kwa kununua magari ya bilion 5 yearly kwq ajili ya watendaji wake. Huku huduma muhimu zikipewa kipaumbele duni?
Nadhani kabla hatujamlaumu Trump tujitafakari sisi wenyewe kwanza
Yaani natamani sana Trump atamke kwa sauti kubwa kuwa HAHITAJI KIONGOZI YEYOTE KUTOKA TZ Kujkipeleka USA, ikiwezekana amtaje kabisa kwa majina yote kamili.
 
Dr mm niwe out of mada.

Kama tungesanuka mapema tungekuwa na watu special wa utaftit na kutafta cure sio kutibu magonjwa kwa kwa maelekezo kutoka wHO n stg

Daktar kama ww unatakiw mpk sahv angalau ushagundua dawa ya ugonjw flan ila sio kufuata msaafu (stg) unavyosema lazima kujiuliza kwan hzo dawa ndo only option zinzo tibu tu , hakuna nyingine? Au ni mpango wa viwanda ( Big Pham) kutuweka kwenye Matrix tusiwaze out of the box.

Ushawahi mtibu mmasai hospitalin? Kama jibu ni No basi kuna dawa zao wanazotumia pia ni effctive au wame develop natural immnity ambayo ina nguvu kisa life style wanayoishi

Kuna wale watalaam wa kuunga mifupa
kwa njia ya kienyeji nao njia ya ipo effective kwa asilimia zake ila tu ni vichwa vimefungwa tuamini kua njia walizo andika wazungu kwenye vitabu ndo only option.

Mtaala mzima wa afya kauandaa Rockefeller na alihakikisha dawa zte ziwe zinatoka kwenye kiwanda chake na kupiga vita kubwa natural plant herbs kama mitishamba kutumika katika kutibu.

Usikute hio HIV inatibika na mimea/ herbs ila tumefunga vichwa kuwa ni dawa zinazotoka nje ndo zinauwezo wa kutibu kama walivyo andika kweny vitabu vyao

Tatizo dunia inakosa watu wavumbuzi wanaoweza kuleta innovation kwani watu wengi wanaishi ndani ya Matrix na uwezo wa ku think beyond umeshuka.

Yangu ni hayo. Tujaribu ku think out of the box, ku question vitu ili tuweze ku escape matrix.
DR Mambo Jambo

View: https://www.instagram.com/reel/DEeZ4l6pasC/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==

View: https://www.instagram.com/reel/DFZnGfYIvO9/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==

Hii Comment inafikirisha sana na Huko Kufikurisha kwake Inafanya Iwe ni moja ya Comment bora sana
 
Waafrika Tujitegemee:

Pamoja na ukweli kwamba alisitisha misaada, haina ukweli wowote ule kwamba alisitisha aidha kwa kutaka kuwakomoa Waafrika au kwa sababu za Dawa za Ukimwi TB n.k Hilo lieleweke.

Are you trying to mislead? nitakuwa nimeskosea? Batanzania....eh

Muiangalie hili kwa jicho la Utatu. Usikubali kuburuzwa na maneno ya Kukariri Propaganda za kukuza na kudogosha Jamii fulani za watu.

,...na katika mlolongo huo huo anasema, Daktari anasema hatuwezi kujitegemea kwa sababu za Gharama kubwa. Soma 👉
Hakuna Nchi narudia tena Hakuna nchi wala Chama Kinachoweza Kubeba Hiyo burden Bila Kuhitaji Msaada..
unajua Chanjo moja ni Bei gani? Unajua ARV Drugs Ni Tsh ngapi Kopo Moja? Unajua Uzazi wa Mpango Hata Kidonge tu Circle mpja Ni Tsh ngapi??
Huyu ni Dkt, hatujui ni Daktari wa NN pamoja na koti lake refu kwenye Avatar Ni mtanzqnia kweli huyu ama anatuchota?

Tafakari kidogo hapo kwanza
halafu tena anakuja kusema👉

Watanzania Mnachekesha Sana!

Mnasahau hata aliyeleta Misaada kwa Wajawazito kutibiwa na Kupewa Huduma Bure ni USA..
Huko USA kwenyewe hakuna cha bure.

Na umeandika uwongo hapo. JUU.

Tuunaezaje kukumbuka kitu ambacho sio kweli?

wakati hata hatukumbuki walileta hiyo misaada ya kutibiwa na kupewa huduma Bure lilitokea lini ama wapi?

Unaeza tutajia kwa Mkataba gani?

HIyo program ilianzishwa lini na wapi?
 
Jamaa ni Daktari lakini ana kinzana na hoja zake mwenyewe.

Andikeni tu, na hakuna atakaye wabishia kuna umuhimu wa nchi za Afrika na hapa Tanzania kuamka.
Hatahivyo

Kuna sababu gani za kuketa nyuzi za kudharauliana?

Itoshekusema sijaona nn liwe suluhisho, na suluhisho hilo lilitakiwa lipatikane 19/1/2025.
Kumbuka pia katika ile Project 2025 ambayo ndio inayomwongoza Trump, ilishasema nn watakuja kukifanya. Tulijiandaa Vp?

Nikuulize ww Daktari wa Mambo hayo yalikupitaje? Je Hukuona kwamba ulihitajika kuanza kutafuta suluhisho?

Badala ya kuleta nyuzi hizi za kipropaganda.?

Oh you know I am capable ya kuuchana huu uzi kuanzia Juu mpaka chini, I dare you, dare me.

Indeed ni propaganda za kutukuza tyu.

Asilimia kubwa wanaosema Tujitegemee ndio hao hao walikuwa wakimbeza Marehemu Rais John Magufuli aliposema, hakuna anayetupenda huko nje tufanye ya kwetu.
Hawa hawa. Na uzuri hapa Jamiiforums kuna digital footprints.

Sasa kabla hujakuja na hasira zako, nakwambia kabisa MM ni CHADEMA na nilikubaliana na Sera zote za John Magufuli.
Hatuezi kuendelea kuwapigia magoti hawa Wazungu.
 
Dr mm niwe out of mada.

Kama tungesanuka mapema tungekuwa na watu special wa utaftit na kutafta cure sio kutibu magonjwa kwa kwa maelekezo kutoka wHO n stg

Daktar kama ww unatakiw mpk sahv angalau ushagundua dawa ya ugonjw flan ila sio kufuata msaafu (stg) unavyosema lazima kujiuliza kwan hzo dawa ndo only option zinzo tibu tu , hakuna nyingine? Au ni mpango wa viwanda ( Big Pham) kutuweka kwenye Matrix tusiwaze out of the box.

Ushawahi mtibu mmasai hospitalin? Kama jibu ni No basi kuna dawa zao wanazotumia pia ni effctive au wame develop natural immnity ambayo ina nguvu kisa life style wanayoishi

Kuna wale watalaam wa kuunga mifupa
kwa njia ya kienyeji nao njia ya ipo effective kwa asilimia zake ila tu ni vichwa vimefungwa tuamini kua njia walizo andika wazungu kwenye vitabu ndo only option.

Mtaala mzima wa afya kauandaa Rockefeller na alihakikisha dawa zte ziwe zinatoka kwenye kiwanda chake na kupiga vita kubwa natural plant herbs kama mitishamba kutumika katika kutibu.

Usikute hio HIV inatibika na mimea/ herbs ila tumefunga vichwa kuwa ni dawa zinazotoka nje ndo zinauwezo wa kutibu kama walivyo andika kweny vitabu vyao

Tatizo dunia inakosa watu wavumbuzi wanaoweza kuleta innovation kwani watu wengi wanaishi ndani ya Matrix na uwezo wa ku think beyond umeshuka.

Yangu ni hayo. Tujaribu ku think out of the box, ku question vitu ili tuweze ku escape matrix.
DR Mambo Jambo

View: https://www.instagram.com/reel/DEeZ4l6pasC/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==

View: https://www.instagram.com/reel/DFZnGfYIvO9/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==

Mkuu Thanks alot na hii. Naunga mkono Dkt pia kusema ni one of the best post so far. I AGREE 100%

Tatizo ni kwamba uzi huu haujaletwa kutafuta suluhisho la kudumu na wala sidhani lengo lake lilikuwa ni la kuwataarifu Watanzania kuhusu mbadala.

Asante. Huko nyuma nimegusia haya na hata kusema kuna Ulazima wa kujiondoa W.H.O hata kwa miezi kadhaa, turudi kwenye kombe la babu. Watu walicheka.

Haijalishi balakini

Mkuu Asante.
 
Ni suala la muda tu watu watagundua TRUMP ni kubwa jinga....
Kubwa jinga anashinda?
Ni wapiga kura wake ndio Makubwa Jinga tena, MaJinga.

Inashangaza sana watu wanatumia kila kitu kupata dhamana za Uongozi huko. Hii playbook ndio CHADEMA wame adopt. Ila hapa sio mahali pake kujadili.

....na huko Ugaibuni ni siasa za

Kudanganyana sana tu. Ila wajinga ndi waliwao, na huko wamejaa wengi tu hata kutushinda.

Pia, kwa shingo upande nawakubali Matembo kwa kuwa starategic, kuchomoa bolo la Trump na genge lake itachukua aka karibia 12. Tena baada ya mnyukano na civil unrest ambayo haijawahi kutokea katika historia ya Dunia.

Time will tell
 
Wengi walimsifia mno. Hatuna haki na misaada yao ila jamaa ni mbaguzi, mbinafsi na kichaa. Amefuta sera zote zinazotetea watu ambao sio weupe Marekani. Anasahau hata yeye babu zake walikua wahamiaji tena wengi walikua wafungwa waliosamehewa. Hana Ukristo wowote kama anavyojidai. Kristo alihimiza kuwapenda wakimbizi na watu walioonewa. Yeye hawapendi kabisa.
 
Wewe ni Daktari usiejitambua.

Why Trump akujali wewe kwa kodi za wananchi wake?

Punguza matumizi hutaki, kuzalisha huwezi unakodisha bandari na vyanzo vilii vya mapato.
Sasa unaweza nini?
Hivyo uliyo vitaja Vinafanywa na Daktari au na Serikali?
 
Nchi za Afrika Zote haziwezi kutoboa kwa Disease Burden Iliyopo Ngoja Twende statistically..

  • Riport ya mwaka jana Tanzania Kwa sasa Ina WAVIU- 1.7Milion na waviu wanaotumia ARV ni 1.4 Milion
  • Waliokuwa wana Ugonjwa wa Malaria walikuwa ni zaidi ya Milion 1
  • Watoto waliopatiwa Chanjo ni zaidi ya Milion 1
  • Watu waliotumia Njia za Uzazi wa Mpango ni zaidi ya Milions
  • Wagonjwa wa TB kwa mwaka Jana walikuwa zaidi ya Laki mbili
Hakuna Nchi narudia tena Hakuna nchi wala Chama Kinachoweza Kubeba Hiyo burden Bila Kuhitaji Msaada..
unajua Chanjo moja ni Bei gani? Unajua ARV Drugs Ni Tsh ngapi Kopo Moja? Unajua Uzazi wa Mpango Hata Kidonge tu Circle mpja Ni Tsh ngapi??
Kuhusu chanjo NIMR na wataalamu wetu waanze kufanya tafiti zenye tija wavumbue chanjo zetu za gharama nafuu.
 
Pamoja na ukweli kwamba alisitisha misaada, haina ukweli wowote ule kwamba alisitisha aidha kwa kutaka kuwakomoa Waafrika au kwa sababu za Dawa za Ukimwi TB n.k Hilo lieleweke.

Are you trying to mislead? nitakuwa nimeskosea? Batanzania....eh
Umesoma Nilichokiandila Ndugu yangu Presidential Order yaani POTUS order Iliyotoka Jan 20.Ya Kusitisha PERFER ndo iliyosababisha Matatizo hayo Kutokea Go and Find Reseaech kuhusu Hayo..

Nipo kwenye Kada ya Afya Tangu Itolewe Hiyo ordee tumekuwa na Vikao Vingi kunusuru Hali iende sawa..
Muiangalie hili kwa jicho la Utatu. Usikubali kuburuzwa na maneno ya Kukariri Propaganda za kukuza na kudogosha Jamii fulani za watu.

,...na katika mlolongo huo huo anasema, Daktari anasema hatuwezi kujitegemea kwa sababu za Gharama kubwa. Soma 👉
Habari tena Mkuu..
Unajua Kopo Moja la ARV ni Bei gani?
aproximately ni USD 200 mpaka 300
Ambayo ni Sawa na Tsh 600k mpaka 800k...
Tanzania Kuna Wagonjwa wa HIV 1.7 na wanaotumia Dawa Ni 1.4 Milion Sasa Piga Hesabu 1.4 Milion Mara 600k Kwa Mwezi Ni sawa na Tsh Ngapi??

Kuna wakati tuweke Ushabiki wa Kipuuzi pembeni tuangalie Uhalisia..

hapo ni Kwa Wagonjwa wanaohitaji ARV..
Usisahau Kuwa order ya POTUS imeathiri The Global Fund to Fight AIDS, Tuberculosis and Malaria..Maana Yake ni Kuwa Wagonjwa wa TB pia Wataathirika na Wagonjwa wa Malaria Pia

Pia USAID (United States Agency for International Development), inayotoa msaada katika kuboresha mifumo ya afya, kutoa chanjo, na kupambana na magonjwa ya milipuko.

Tukumbuke Kuwa Wajawazito kutibiwa Bure Sio Serikali iliamua ni Msaada wa USAID..
Na Kutokana na Kusitisha PEPFAR wote tunaathirika na Hiyo kitu..
Nimetoa Idadi ya Burden ya Tanzania kwa Magonjwa ambayo Kwa Bajeti yetu hata Tufanyaje hatuwezi kufika Unless wananchi waumie Kuchangia matibabu hayo..

Huyu ni Dkt, hatujui ni Daktari wa NN pamoja na koti lake refu kwenye Avatar Ni mtanzqnia kweli huyu ama anatuchota?

Tafakari kidogo hapo kwanza
halafu tena anakuja kusema👉

Huko USA kwenyewe hakuna cha bure.

Na umeandika uwongo hapo. JUU.
Natamani Ungeniambia Kipi Kilichoandikwa Ni cha Uongo ili Nikupe Risiti zake..

Nimewapenda Watu waliozema Tuache Kumlaumu Trump ila tuilaumu Serikali yetu kwa kuwa wao ndo wanaoturudisha Nyuma na Nimependa watu waliosema Kuwa Hili la Trump litufundishe kuwa Tunahitaji Fund zetu wenyewe...

Ila Mkuu Imejielekeza Vbaya Kuamini Kilichoandikwa halina Uhalisia
Tuunaezaje kukumbuka kitu ambacho sio kweli?

wakati hata hatukumbuki walileta hiyo misaada ya kutibiwa na kupewa huduma Bure lilitokea lini ama wapi?
Unataka Kujua Misaada ya Kutibiwa Bure Ilikuja Lini?
Sijui Una Umri gani ila nataka kukukumbusha Kidogo..

Tarehe 3 November 1961 Chini ya Rais JFK marekani ilianzisha USAID ndo ilikuwa Ikitusaidia Chanjo na Maendeleo mengine upande wa Afya..

sera ya Afya ya Mwaka 1990 (Kama Umebahatika Kuisoma) Hakuna Mgonjwa alitibiwa Bure hapo ndo kulianzishwa Cost Sharing na watu wote walilipia Matibabu bila Kujali Umri wala Jinsia...

Ila Mnamo mwaka 2003 Chini ya George Bush aliamzisha Mkataba wa PEPFAR ambao Ulifanikisha Upatikanaji wa Sera ya Afya ya Mwaka 2003 Na Matibabu Bure ya Watoto chini ya Miaka mitano na Wazee Yakaanzishwa..

Na Sera Ya afya ya mwaka 2007 (Ambayo ndo inatumika Mpaka Leo) ikawa bado inasisitiza hivyo..

hatukujiandaa kwa Hili Na Ubaya ni kwamba Hatuna Supplimentary Policy wala Supplimentary Budget kwa majanga kama Haya..

Mikataba ya Kimataifa Iko mingi nimekutajia Hiyo Michache tu

Asante
 
Kuhusu chanjo NIMR na wataalamu wetu waanze kufanya tafiti zenye tija wavumbue chanjo zetu za gharama nafuu.
Nakubaliana na Wewe Kabisa..
Na Kingine Sera ya Afya Iliyopo Imekwisha Pitwa na Wakati tunahitaji sera Mpya Ya kukabiliana na Majanga kuliko Kutegemea Sera ya Mwka 2007
 
Jamaa ni Daktari lakini ana kinzana na hoja zake mwenyewe.

Andikeni tu, na hakuna atakaye wabishia kuna umuhimu wa nchi za Afrika na hapa Tanzania kuamka.
Hatahivyo

Kuna sababu gani za kuketa nyuzi za kudharauliana?

Itoshekusema sijaona nn liwe suluhisho, na suluhisho hilo lilitakiwa lipatikane 19/1/2025.
Kumbuka pia katika ile Project 2025 ambayo ndio inayomwongoza Trump, ilishasema nn watakuja kukifanya. Tulijiandaa Vp?

Nikuulize ww Daktari wa Mambo hayo yalikupitaje? Je Hukuona kwamba ulihitajika kuanza kutafuta suluhisho?

Badala ya kuleta nyuzi hizi za kipropaganda.?

Oh you know I am capable ya kuuchana huu uzi kuanzia Juu mpaka chini, I dare you, dare me.

Indeed ni propaganda za kutukuza tyu.

Asilimia kubwa wanaosema Tujitegemee ndio hao hao walikuwa wakimbeza Marehemu Rais John Magufuli aliposema, hakuna anayetupenda huko nje tufanye ya kwetu.
Hawa hawa. Na uzuri hapa Jamiiforums kuna digital footprints.

Sasa kabla hujakuja na hasira zako, nakwambia kabisa MM ni CHADEMA na nilikubaliana na Sera zote za John Magufuli.
Hatuezi kuendelea kuwapigia magoti hawa Wazungu.
Habari Nkaburu

Ili tuwe sawa katika Uzi huu Tujue kutifautisha Propaganda na Hali halisi..
Siasa na Proffesional..
Mpaka Navyoongea Sasa Hivi watu zaidi ya 700 kwa Dar es salaam Ninao wajua Wamepoteza Kazi ama Kusimamishwa Kazi mpaka Order ya POTUS ipitiwe na Kurejesha hivyo vitu Vinginevyo ndo kibarua Kimeota nyasi..

Serkali bado Haijui ifanye nini Kuziba pengo hilo la Ukosefu wa Dawa kaam Order hiyo itazidi Miezi iliyotajwa..

Sikatai na Sijakubaliana kuwa Nani ni bora kwenye Upande wa Siasa ataweza Kutuokoa..

Ila nimejiepusha Kuangalia Upande wa Siasa Katika Kujaribu Kuchambua Swala linalohitaji utaalamu

Asante
 
Back
Top Bottom