Nilikuwa mmoja ya watu wa kwanza kupinga usajili wa Bernard Morrison na kweli hajaniangusha. Huu ni uhuni kwa sisi Yanga

Wewe baki kua shabiki usijitwishe mzigo usio uweza hakuna mtu kakuomba uchangie
 
Naona una uchungu sana
 
Nilisikia baadhi ya wachezaji wametengeneza usela kwa boss wao Hersi kiasi ambacho wanakuwa wanaogopwa na bench la ufundi (untouchable) kuhofia kumkasirisha boss wao
 
Nilisikia baadhi ya wachezaji wametengeneza usela kwa boss wao Hersi kiasi ambacho wanakuwa wanaogopwa na bench la ufundi (untouchable) kuhofia kumkasirisha boss wao
Umesikia wapi? Kiongozi hapaswi kua na urafiki na anao waongoza?
 
Hii mambo ya "mimi ni Simba......." .Huwa hamjiamini mnavyotoa maoni yenu mpaka mtujulishe kwanza kuwa wewe ni Yanga?
Mimi Simba ila wenzetu Yanga kwa sasa wako vizuri sana, japo si kwa ubaya.
 
Inawezekana wao ndo wanajishalilisha kwakuwa yanga haikuwatukana.
 
Nilisikia baadhi ya wachezaji wametengeneza usela kwa boss wao Hersi kiasi ambacho wanakuwa wanaogopwa na bench la ufundi (untouchable) kuhofia kumkasirisha boss wao
Naungana na wewe mkuu

Mwl mwinyi zahera ambaye amehudumu pale jangwani aliwah sema hili kuwa eng hersi amekuwa jiran na wachezaj Sana

Na Jana kocha nabi kasema kuwa suala la nidhamu wamuachie yeye asiingiiwe na mtu

Kwa scenario hiz mbili utaona kuna shida sehemu

Jana akasema wachezaji wamuige mayele yupo na nidham kubwa Sana pamoja na kuwa top scorer havimbi Kama wengine
 
Hiyo ya Okra si kweli... Tumezusha tu kwenye group letu flani. Okra akitaka kuondoa mikia watamfukuza. Hawa jamaa nachowakubali huwa hawana kubembeleza au kurudia matapishi.
 
Kwa faida yako tu nikwamba, Hakuna mchezaji wa kudumu ktk Timu. Wanaodumu ni mashabiki tu.

Kwaiyo, ramba zako ndimu. Itakata kichefuchefu icho. Ciao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…