Huwa nasema wazi na leo narudia tena USAJILI WA YANGA NI WA KISHAMBASANA ,eti tunamrudisha ili tuwakomoe simba[emoji23][emoji23][emoji23]guys mko siriazi kweli..jitu kama morisson ni la kufukuzwa nchini coz ni jinga sana lile jamaa.
Yaani ifike wakati vilabu vya nchi hii vikubaliane kutotumika kama mafala na wachezaji ambao hawana nidhamu,hili jamaa lishajua tz ni nchi ya kupiga hela tu,ukizingatia watz wengi ni mashamba tu hayajui mpira,kazi kuweka mbele ushabiki tu.
Jambo lingine,issue inayoendelea kwa yanga na feisal,ni wazi kuwa feisal kaidhalilisha sana yanga,kwa kutaka kuvunja mkataba kihuni,kawadharau sana viongozi hata fans pia,na kwa mujibu wa wakili wake kasema hawezi kurudi kamwe yanga,sasa yanga wataona kama jamaa kusema hivyo ni kuwafanya wao wadogo sanaa,jamani yanga ni kubwa sana kuliko hao wachezaji,mnavyojishusha kwa wachezaji mnajichora tuu ,ohoooo!! Yaani rais hataki kushindwa hata jambo moja akiamini kuwa ndo kipimo cha uongozi bora,kuna mambo lazima uachane nayo tu kama unaona huwezi kuhandle.
pale simba okrah inasemekana anataka kuondoka afu viongozi wanamlamba lamba ,angekuwepo hasspope angelitimua mchana kweupe peee.(IKO SIKU OKRAH ATAWASHINDA SIMBA)mark my words
Liende tu,kwani nini,??ndo nashangaa sasa yanga mnapenda sana kuongozwa na hisia kuliko uhalisia,hakukuwa na sababu ya kumsajili huyu kichaa,na hata kumrudisha mnata,iko siku mtajuta.