R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Jan 18, 2023 #41 Yanga wanataka kumfukuza ila wakifikiria anavyowashinda kwenye kesi inabidi wawe wapole
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Jan 18, 2023 #42 Halafu so walisema alikuwa chaguo la Nabi
Komeo Lachuma JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 7,926 Reaction score 17,030 Jan 19, 2023 Thread starter #43 TuntemekeSanga said: Kwa faida yako tu nikwamba, Hakuna mchezaji wa kudumu ktk Timu. Wanaodumu ni mashabiki tu. Kwaiyo, ramba zako ndimu. Itakata kichefuchefu icho. Ciao! Click to expand... Mbona unatokwa sana na povu kila sehemu ya uwazi ya mwili wako? Umeshalamba ngapi? Na kopo la kutemea mate?pole... Jikaze.
TuntemekeSanga said: Kwa faida yako tu nikwamba, Hakuna mchezaji wa kudumu ktk Timu. Wanaodumu ni mashabiki tu. Kwaiyo, ramba zako ndimu. Itakata kichefuchefu icho. Ciao! Click to expand... Mbona unatokwa sana na povu kila sehemu ya uwazi ya mwili wako? Umeshalamba ngapi? Na kopo la kutemea mate?pole... Jikaze.
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Jan 19, 2023 #44 Unamuacha Saido kwa utovu kwa nidhamu unaenda kumsajili Morrison. Una akili kweli
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,884 Jan 20, 2023 #45 ukikaidi utapigwa2 said: Naona una uchungu sana Click to expand... Sawa
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,884 Jan 20, 2023 #46 Chizi Maarifa said: Hiyo ya Okra si kweli... Tumezusha tu kwenye group letu flani. Okra akitaka kuondoa mikia watamfukuza. Hawa jamaa nachowakubali huwa hawana kubembeleza au kurudia matapishi. Click to expand... We unfortunately humfahamu okrah ila NAKWAMBIA wazi yule jamaa ni pasua kichwa wa chini chini.
Chizi Maarifa said: Hiyo ya Okra si kweli... Tumezusha tu kwenye group letu flani. Okra akitaka kuondoa mikia watamfukuza. Hawa jamaa nachowakubali huwa hawana kubembeleza au kurudia matapishi. Click to expand... We unfortunately humfahamu okrah ila NAKWAMBIA wazi yule jamaa ni pasua kichwa wa chini chini.