rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Yanga wanataka kumfukuza ila wakifikiria anavyowashinda kwenye kesi inabidi wawe wapole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unatokwa sana na povu kila sehemu ya uwazi ya mwili wako? Umeshalamba ngapi? Na kopo la kutemea mate?pole... Jikaze.Kwa faida yako tu nikwamba, Hakuna mchezaji wa kudumu ktk Timu. Wanaodumu ni mashabiki tu.
Kwaiyo, ramba zako ndimu. Itakata kichefuchefu icho. Ciao!
SawaNaona una uchungu sana
We unfortunately humfahamu okrah ila NAKWAMBIA wazi yule jamaa ni pasua kichwa wa chini chini.Hiyo ya Okra si kweli... Tumezusha tu kwenye group letu flani. Okra akitaka kuondoa mikia watamfukuza. Hawa jamaa nachowakubali huwa hawana kubembeleza au kurudia matapishi.