Nilikuwa mmoja ya watu wa kwanza kupinga usajili wa Bernard Morrison na kweli hajaniangusha. Huu ni uhuni kwa sisi Yanga

Nilikuwa mmoja ya watu wa kwanza kupinga usajili wa Bernard Morrison na kweli hajaniangusha. Huu ni uhuni kwa sisi Yanga

Kwa faida yako tu nikwamba, Hakuna mchezaji wa kudumu ktk Timu. Wanaodumu ni mashabiki tu.

Kwaiyo, ramba zako ndimu. Itakata kichefuchefu icho. Ciao!
Mbona unatokwa sana na povu kila sehemu ya uwazi ya mwili wako? Umeshalamba ngapi? Na kopo la kutemea mate?pole... Jikaze.
 
Unamuacha Saido kwa utovu kwa nidhamu unaenda kumsajili Morrison. Una akili kweli
 
Hiyo ya Okra si kweli... Tumezusha tu kwenye group letu flani. Okra akitaka kuondoa mikia watamfukuza. Hawa jamaa nachowakubali huwa hawana kubembeleza au kurudia matapishi.
We unfortunately humfahamu okrah ila NAKWAMBIA wazi yule jamaa ni pasua kichwa wa chini chini.
 
Back
Top Bottom