Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Nimeona wengi wanasema Harrier haiko stable barabaran..ni kwanini maana kwa njee inaonekana vizuri tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona wengi wanasema Harrier haiko stable barabaran..ni kwanini maana kwa njee inaonekana vizuri tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah dude liko vzr tu lile sema wale watu wa mambio ndo wanaonaga dude kwny safari ndefu inakua haijakaa stable kiviile na hazina historia mbaya ya kuchomoka matairi(kama yale ma prado old model)

Inshort dude liko fresh sana tu mkuu,being unstable ni mitizamo ya watu tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…