Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Hahah kuna ukweli flani hivi lkn hapo hahah,though hio td5 ndii naitumiaga kwenda huko kwny hizo mishe mishe ila kwa mwaka aisee ni mara chache sana kwenda offroad mpk td5 nimeiweka sokoni sa hivi maana haina kazi kiiiile mkuu.

I got your point mkuu.

For the mean time labda niokote mahela ya Vx ingawa dalili za kuziokota hela sizioni ila Crossovers(nehiiiiiiiiiiiiii) maana harrier(old model) ilinishinda barabarani sikua naiona ikiwa stable kiasi ninachotaka mimi.
Nimeona wengi wanasema Harrier haiko stable barabaran..ni kwanini maana kwa njee inaonekana vizuri tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona wengi wanasema Harrier haiko stable barabaran..ni kwanini maana kwa njee inaonekana vizuri tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah dude liko vzr tu lile sema wale watu wa mambio ndo wanaonaga dude kwny safari ndefu inakua haijakaa stable kiviile na hazina historia mbaya ya kuchomoka matairi(kama yale ma prado old model)

Inshort dude liko fresh sana tu mkuu,being unstable ni mitizamo ya watu tu mkuu.
 
Back
Top Bottom