Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hivyo kunichukulia mume mliona haitoshi, na mabalaa mmeona mniletee kweli?
Ndo maisha mpenzi. Wanaume wenyewe wachache tufanyaje sasa.
Jiongeze shauri yako
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mchumba unaniua hadharani hivi? Nitakunyoosha mscheewwwww
 
Tunasema mbuzi alifia kwa muuza supu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazima wamshangae aisee me mama angu anakufukuza mchana kweupee...[emoji119][emoji119]
 
1. Ikitokea nikapiga nitaweka kifuani
2. Napenda tu tattoo naona ni urembo japo siwezi kuchora
3. Hawakusema kwa kweli ila wanapenda tu tattoo
They want to objectify you.
They want to mark you like the way they own a car that is for casual uses, they can stick it with so many stickers with different urban marks like graffit but can't do the same with their business or official cars.

Every man likes to do dirty or sex fantasy trics on a women they don't consider as wife material.

Most men like tattoos on women as a fetish thing.

But for me I don't hate it neither do I like it. My opinion doesn't matter.
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mchumba unaniua hadharani hivi? Nitakunyoosha mscheewwwww

Hapa najaribu kutafuta kila mbinu ya wewe kuacha hayo mawazo mchumba.
 
Na mimi nataka nianze kuchora piko tu sema naogopa nazo huwa kuna watu zinawakataa wanavimba mwili. Naishiaga kwenye henna tu sema nitachora piko very soon.
Nina mwaka kila siku nasema naenda kuchora naghairi
Kweli kabisa kuna watu zinawakataa jaribu ua dogo
 
My question to her, “Tell me the reason why would you like to have tattoo(s) on your body?”

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wengi wanaogopa jamii inavyowafikiria ila mimi hiyo haiwezi kuwa sababu yangu milele
umechora wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…