Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hivyo kunichukulia mume mliona haitoshi, na mabalaa mmeona mniletee kweli?
Ndo maisha mpenzi. Wanaume wenyewe wachache tufanyaje sasa.
Jiongeze shauri yako
 
Mzigua bangi zinamsumbua, au ukute ana nyege tu.

Swali langu lililenga kwamba kwa mtazamo wako, ikitokea mwanao pendwa wa kike akikuomba ushauri kuhusu tattoo, utamshauri nini?

Nazungumzia ile age ambayo watoto wanawachukulia wazazi kama role models.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mchumba unaniua hadharani hivi? Nitakunyoosha mscheewwwww
 
Nakupa mfano hai kabisa kuna dada tulikuwa naye kazini sikuwa na mpango naye kabisa wa kutoka naye, ila kuna siku sijui alikuwa anaokota nini chini ile kuinama nikaiona tatu nzr ya ua sikumuuliza kabisa sasa kila kukicha natamani niione ile tattoo mpka nikafanikiwa.
Tunasema mbuzi alifia kwa muuza supu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa huyu mmoja alimuengage mwanamke wake kabisa.
Nilimuuliza uliwezaje kumpeleka kwenu na tattoo zile na kujitoboa ulimi pua juu ya jicho na kwenye kidevu.
Alinijibu tu nilikua naoa mimi sio familia na walinielewa japo najua walikua waninashangaa na yule mwanamke [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazima wamshangae aisee me mama angu anakufukuza mchana kweupee...[emoji119][emoji119]
 
1. Ikitokea nikapiga nitaweka kifuani
2. Napenda tu tattoo naona ni urembo japo siwezi kuchora
3. Hawakusema kwa kweli ila wanapenda tu tattoo
They want to objectify you.
They want to mark you like the way they own a car that is for casual uses, they can stick it with so many stickers with different urban marks like graffit but can't do the same with their business or official cars.

Every man likes to do dirty or sex fantasy trics on a women they don't consider as wife material.

Most men like tattoos on women as a fetish thing.

But for me I don't hate it neither do I like it. My opinion doesn't matter.
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mchumba unaniua hadharani hivi? Nitakunyoosha mscheewwwww

Hapa najaribu kutafuta kila mbinu ya wewe kuacha hayo mawazo mchumba.
 
My question to her, “Tell me the reason why would you like to have tattoo(s) on your body?”

Back
Top Bottom