Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mchumba unaniua hadharani hivi? Nitakunyoosha mscheewwwwwMzigua bangi zinamsumbua, au ukute ana nyege tu.
Swali langu lililenga kwamba kwa mtazamo wako, ikitokea mwanao pendwa wa kike akikuomba ushauri kuhusu tattoo, utamshauri nini?
Nazungumzia ile age ambayo watoto wanawachukulia wazazi kama role models.
Hahahahahahahahah aiseeeee ila wewe dahPongezi ziende kwa serekali hii ya awamu ya tano
Tunasema mbuzi alifia kwa muuza supu [emoji23][emoji23][emoji23]Nakupa mfano hai kabisa kuna dada tulikuwa naye kazini sikuwa na mpango naye kabisa wa kutoka naye, ila kuna siku sijui alikuwa anaokota nini chini ile kuinama nikaiona tatu nzr ya ua sikumuuliza kabisa sasa kila kukicha natamani niione ile tattoo mpka nikafanikiwa.
Ayayayayaaaaaaaaa dadadadadeeeeqqqqq!!
[emoji1][emoji1]Tunasema mbuzi alifia kwa muuza supu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari! FIRE!Ayayayayaaaaaaaaa dadadadadeeeeqqqqq!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazima wamshangae aisee me mama angu anakufukuza mchana kweupee...[emoji119][emoji119]Sasa huyu mmoja alimuengage mwanamke wake kabisa.
Nilimuuliza uliwezaje kumpeleka kwenu na tattoo zile na kujitoboa ulimi pua juu ya jicho na kwenye kidevu.
Alinijibu tu nilikua naoa mimi sio familia na walinielewa japo najua walikua waninashangaa na yule mwanamke [emoji23][emoji23][emoji23]
haha sio kwa shangwe hizo!!!Weeeeh sema kweli
Wavaa shanga oyeeee
Nakazia hapa watu wenye hofu ya mungu wote hawawezi kukushauri ujichomechomeUkikutana na Bwana anapenda tattoo bhasi jua ni muhuni flani ambae mnapotezeana tu muda
They want to objectify you.1. Ikitokea nikapiga nitaweka kifuani
2. Napenda tu tattoo naona ni urembo japo siwezi kuchora
3. Hawakusema kwa kweli ila wanapenda tu tattoo
Jana uliniambia nini sijui ile. Ntachora tattoo nikufukuzishe mchumba
Mbili tu yaani mbili tuhaha sio kwa shangwe hizo!!!
Mmoja ama mbili zinapendeza
Sio wale wanaziopanga kama vigagula mpaka waweza ogopa.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mchumba unaniua hadharani hivi? Nitakunyoosha mscheewwwww
Kweli kabisa kuna watu zinawakataa jaribu ua dogoNa mimi nataka nianze kuchora piko tu sema naogopa nazo huwa kuna watu zinawakataa wanavimba mwili. Naishiaga kwenye henna tu sema nitachora piko very soon.
Nina mwaka kila siku nasema naenda kuchora naghairi
Mzigua bangi zinamsumbua, au ukute ana nyege tu.
Swali langu lililenga kwamba kwa mtazamo wako, ikitokea mwanao pendwa wa kike akikuomba ushauri kuhusu tattoo, utamshauri nini?
Nazungumzia ile age ambayo watoto wanawachukulia wazazi kama role models.
Aisee una silver au gold kiunoni x gf alikuwa nayo aisee ilikuwa mzuka sanaKwani nakua nimechora ili wanaume muone? Mbona cheni za viuno au shanga hamuoni wanaume wote?
ewaaaaaa:Mbili tu yaani mbili tu
umechora wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wengi wanaogopa jamii inavyowafikiria ila mimi hiyo haiwezi kuwa sababu yangu milele