za kiuno au?Ananiambia rafiki zangu wana tattoo kwanini mimi sina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wengi wanaogopa jamii inavyowafikiria ila mimi hiyo haiwezi kuwa sababu yangu milele
Tatizo lugha mkuuThey want to objectify you.
They want to mark you like the way they own a car that is for casual uses, they can stick it with so many stickers with different urban marks like graffit but can't do the same with their business or official cars.
Every man likes to do dirty or sex fantasy trics on a women they don't consider as wife material.
Most men like tattoos on women as a fetish thing.
But for me I don't hate it neither do I like it. My opinion doesn't matter.
Hahahah itaonekana bwana auntie
For sure.Mie pia naona kwa cheupe dawa inapendeza zaidi kuliko cheusi mangala.
Kampeni ya nini mkuu?Hii kampeni huwezi fanikiwa kamwe, asilimia kubwa ya wanawake wenye tattoo wanaonekana ktk muonekano wa malaya wenye digirii waliopitiliza ngazi ta umalaya.
Aina ya mwanaume anaependa hiyo michoro ni wahuni tu huwezi mpata mwanaume mwenye busara zake akapenda hiyo kitu labda awe amelewa asukumwe na tamaa.
Haya ikiisha pombe utaendeleatattoo kitu cha kawaida tuu. na zina maana yake. sema sasa kila mtu ana mtazamo wake kuhusu tattoo. mhudumu safari ya baridi naomba. haya tuendelee. asante. sasa kuna baadhi ya nchi unaweza ukaenda umechora tattoo yako kwa maana yako,ikawa labda ya gang flani,msala. tattoo kama ishata za vidole pia. kudadeki mambo mengi kichwani. kesho nitaelezea vizuri. ngoja kwanza
Lazima wanaliwa. Mtu anakuchoraje anakushika shika kidudu usimpe weeeee.
Au nao wanakuaga kama madaktari wanavyoziona wanaona kawaida tu hawashtuki