Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Huwa zina mvuto wake, majuzi nilimla sista duu mmoja alikuwanayo pajani it was interesting.
 
Kwa nn sasa hutaki kuchora?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wengi wanaogopa jamii inavyowafikiria ila mimi hiyo haiwezi kuwa sababu yangu milele
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazima wamshangae aisee me mama angu anakufukuza mchana kweupee...[emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakazia hapa watu wenye hofu ya mungu wote hawawezi kukushauri ujichomechome
Kwani tattoo ni dhambi? Hayo ya hofu ya Mungu hata mwenye hofu ya Mungu hawezi kukwambia mngonoke kabla ya ndoa.
 
They want to objectify you.
They want to mark you like the way they own a car that is for casual uses, they can stick it with so many stickers with different urban marks like graffit but can't do the same with their business or official cars.

Every man likes to do dirty or sex fantasy trics on a women they don't consider as wife material.

Most men like tattoos on women as a fetish thing.

But for me I don't hate it neither do I like it. My opinion doesn't matter.
Tatizo lugha mkuu
 
Huyo aliyekuambia uchore kiunoni anakutafutia mabaya, mimi binafsi demu ambaye ana tattoo siwezi ku deal naye, nilishajijengea kichwani wanakuwa mambo mengi sana
 
Hii kampeni huwezi fanikiwa kamwe, asilimia kubwa ya wanawake wenye tattoo wanaonekana ktk muonekano wa malaya wenye digirii waliopitiliza ngazi ta umalaya.
Aina ya mwanaume anaependa hiyo michoro ni wahuni tu huwezi mpata mwanaume mwenye busara zake akapenda hiyo kitu labda awe amelewa asukumwe na tamaa.
Kampeni ya nini mkuu?
 
tattoo kitu cha kawaida tuu. na zina maana yake. sema sasa kila mtu ana mtazamo wake kuhusu tattoo. mhudumu safari ya baridi naomba. haya tuendelee. asante. sasa kuna baadhi ya nchi unaweza ukaenda umechora tattoo yako kwa maana yako,ikawa labda ya gang flani,msala. tattoo kama ishata za vidole pia. kudadeki mambo mengi kichwani. kesho nitaelezea vizuri. ngoja kwanza
Haya ikiisha pombe utaendelea
 
Ila ndo hvyo kama mkeo haogopi kumvulia stranger nguo huyo si mke
Lazima wanaliwa. Mtu anakuchoraje anakushika shika kidudu usimpe weeeee.
Au nao wanakuaga kama madaktari wanavyoziona wanaona kawaida tu hawashtuki
 
Back
Top Bottom