Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,526
Habari humu ndani natumaini mkoa poa kabisa ila kwa upande wangu siko sawa yaani Sina amani Sina Raha daaah ☹️!
Ebana nisiwachoshe sana IPO hivi wiki 3 KABLA nilikuwa natoka kwa mteja kuset dish nikiwa narudi nilikutana na Binti fulani karibu na kapela s/m
Sikikawia nikamvutia kando nikatema madini kwa gia za ndoa mtoto wa watu akanielewa
Alikuwa anaenda kwa dada yake maeneo ya maghorofani nikamwambia anipe namba akitaka outoka kwa dada yake atanicheki akasema Hana Salio Wala sms nikazama Halopesa nokamfanyia muamala wa Salio
Baadae kama Mida ya Saa 11 jioni akanitafuta kuwa ameshatoka kwa dada yake nikaenda tulipokutana mchana nikamkuta yupo na mdogo wake wa kike
Muda sio mrefu mdogo wake akatuaga anarudi nyumbani tukabaki sisi wawili nikamwambia twende mjini tukapate vinywaji akakubali
Tukiwa njiani akasema tusikawie ANATAKA kurudi nyumbani kwao KABLA ya Saa 2 usiku nikaona hapa nisiwe mzembe nikabadili lengo nikazama nae lodge kufika lodge demu haniielewi alonisumbia sana ila eventually nikanyandua
Siku 2 au 3 mbeleni maziwa yakazidi kwangu akapajua kazini akapajua na kushenyeta nishashenyeta kama mara 7 hivi ila akili inagoma kuingia kwenye ndoa na yeye kashaanza mpaka kujinadi kwa dada zake kuwa kapatta mume
Na mimi wazo la kuoa Sina Wala staki kiubanwa banwa nifanye Nini ili demu aniache kwa amani maana kwa jinsi alivyokuja mazima naweza kuwa chanzo Cha kumsababishia jambo lolote baya nikaishia JELA !