Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kuna wanafalsafa na wanamahesabu kwelii mkuu.kabla ya yote
wiki 3 demu amekujua nje ndani
Umegonga ×7
We ni Malaya?Na umalaya wangu woote sijawai gongwa na mwanaume kirahisi ivyo dah,watt wa afu 2 mna nn
Mchane ukweli kuwa nilikuwa na genye tu i am sorry sina mpango wakuoa!! Itamuumiza lakini ndo dawa ya yeye kupona na wewe kuwa salama..... hakuna namna ingine” maana umefanya mambo mengi kwa haraka hii ni hatari kwako kujua kazini na geto kwako, jitoe kistaarabu hapoHabari humu ndani natumaini mkoa poa kabisa ila kwa upande wangu siko sawa yaani Sina amani Sina Raha daaah ☹️!
Ebana nisiwachoshe sana IPO hivi wiki 3 KABLA nilikuwa natoka kwa mteja kuset dish nikiwa narudi nilikutana na Binti fulani karibu na kapela s/m
Sikikawia nikamvutia kando nikatema madini kwa gia za ndoa mtoto wa watu akanielewa
Alikuwa anaenda kwa dada yake maeneo ya maghorofani nikamwambia anipe namba akitaka outoka kwa dada yake atanicheki akasema Hana Salio Wala sms nikazama Halopesa nokamfanyia muamala wa Salio
Baadae kama Mida ya Saa 11 jioni akanitafuta kuwa ameshatoka kwa dada yake nikaenda tulipokutana mchana nikamkuta yupo na mdogo wake wa kike
Muda sio mrefu mdogo wake akatuaga anarudi nyumbani tukabaki sisi wawili nikamwambia twende mjini tukapate vinywaji akakubali
Tukiwa njiani akasema tusikawie ANATAKA kurudi nyumbani kwao KABLA ya Saa 2 usiku nikaona hapa nisiwe mzembe nikabadili lengo nikazama nae lodge kufika lodge demu haniielewi alonisumbia sana ila eventually nikanyandua
Siku 2 au 3 mbeleni maziwa yakazidi kwangu akapajua kazini akapajua na kushenyeta nishashenyeta kama mara 7 hivi ila akili inagoma kuingia kwenye ndoa na yeye kashaanza mpaka kujinadi kwa dada zake kuwa kapatta mume
Na mimi wazo la kuoa Sina Wala staki kiubanwa banwa nifanye Nini ili demu aniache kwa amani maana kwa jinsi alivyokuja mazima naweza kuwa chanzo Cha kumsababishia jambo lolote baya nikaishia JELA !
Una mfahamu baba yake kuwa bado yupo anawafahamu maraisi wote waliopita na watakao tangulia kesho.Habari humu ndani natumaini mkoa poa kabisa ila kwa upande wangu siko sawa yaani Sina amani Sina Raha daaah ☹️!
Ebana nisiwachoshe sana IPO hivi wiki 3 KABLA nilikuwa natoka kwa mteja kuset dish nikiwa narudi nilikutana na Binti fulani karibu na kapela s/m
Sikikawia nikamvutia kando nikatema madini kwa gia za ndoa mtoto wa watu akanielewa
Alikuwa anaenda kwa dada yake maeneo ya maghorofani nikamwambia anipe namba akitaka outoka kwa dada yake atanicheki akasema Hana Salio Wala sms nikazama Halopesa nokamfanyia muamala wa Salio
Baadae kama Mida ya Saa 11 jioni akanitafuta kuwa ameshatoka kwa dada yake nikaenda tulipokutana mchana nikamkuta yupo na mdogo wake wa kike
Muda sio mrefu mdogo wake akatuaga anarudi nyumbani tukabaki sisi wawili nikamwambia twende mjini tukapate vinywaji akakubali
Tukiwa njiani akasema tusikawie ANATAKA kurudi nyumbani kwao KABLA ya Saa 2 usiku nikaona hapa nisiwe mzembe nikabadili lengo nikazama nae lodge kufika lodge demu haniielewi alonisumbia sana ila eventually nikanyandua
Siku 2 au 3 mbeleni maziwa yakazidi kwangu akapajua kazini akapajua na kushenyeta nishashenyeta kama mara 7 hivi ila akili inagoma kuingia kwenye ndoa na yeye kashaanza mpaka kujinadi kwa dada zake kuwa kapatta mume
Na mimi wazo la kuoa Sina Wala staki kiubanwa banwa nifanye Nini ili demu aniache kwa amani maana kwa jinsi alivyokuja mazima naweza kuwa chanzo Cha kumsababishia jambo lolote baya nikaishia JELA !
😳😳😳 duh aiseee angalia ummemtongoza beki tatu kumbe anashda zake na ww coz una nyenge zmekuzd ukafkr umeotea zali la menta usisahau kutuletea mrejesho wa UTI na kisonono suguHabari humu ndani natumaini mkoa poa kabisa ila kwa upande wangu siko sawa yaani Sina amani Sina Raha daaah ☹️!
Ebana nisiwachoshe sana IPO hivi wiki 3 KABLA nilikuwa natoka kwa mteja kuset dish nikiwa narudi nilikutana na Binti fulani karibu na kapela s/m
Sikikawia nikamvutia kando nikatema madini kwa gia za ndoa mtoto wa watu akanielewa
Alikuwa anaenda kwa dada yake maeneo ya maghorofani nikamwambia anipe namba akitaka outoka kwa dada yake atanicheki akasema Hana Salio Wala sms nikazama Halopesa nokamfanyia muamala wa Salio
Baadae kama Mida ya Saa 11 jioni akanitafuta kuwa ameshatoka kwa dada yake nikaenda tulipokutana mchana nikamkuta yupo na mdogo wake wa kike
Muda sio mrefu mdogo wake akatuaga anarudi nyumbani tukabaki sisi wawili nikamwambia twende mjini tukapate vinywaji akakubali
Tukiwa njiani akasema tusikawie ANATAKA kurudi nyumbani kwao KABLA ya Saa 2 usiku nikaona hapa nisiwe mzembe nikabadili lengo nikazama nae lodge kufika lodge demu haniielewi alonisumbia sana ila eventually nikanyandua
Siku 2 au 3 mbeleni maziwa yakazidi kwangu akapajua kazini akapajua na kushenyeta nishashenyeta kama mara 7 hivi ila akili inagoma kuingia kwenye ndoa na yeye kashaanza mpaka kujinadi kwa dada zake kuwa kapatta mume
Na mimi wazo la kuoa Sina Wala staki kiubanwa banwa nifanye Nini ili demu aniache kwa amani maana kwa jinsi alivyokuja mazima naweza kuwa chanzo Cha kumsababishia jambo lolote baya nikaishia JELA !
Mkuu mbona wastani wakawaida saana week tatu gawanya Kwa saba maana yake kila baada ya siku tatu mshenyeto.Umeteleza sana, wiki tatu umeteleza mara saba..dah, siku ya kwanza ukateleza..dah!
😅😅😅😅Mwambie wewe ni shoga ulikua unajaribu mitambo baada ya kutumia dawa.
Mara 7 mbona ndogo mkuu hasa kama mwanamke kakuelewa ni wewe tu na muda nguvu zako.Hebu ongea kiume Kaka.
Muambie kuwa suala la ndoa asubiri kwanza.
Ww ulimuambia kipind kile kwasababu ulitaman awe wako .
Sasa ashakuwa wako asiwe na haraka..
Ndoa kama Mungu kajalia itakuwepo tu.
Asiwe na haraka.
Sometimes Uongo changanya na Ukweli.
Unakupa muda mwing zaid kujitambua na kumtambua pia mwenza wako.
Wiki 3 ushamfanya mdada wa watu mara 7😂😂😂😂. Dah
Hivi unadhan huyo dogo anaengangania kuolewa haraka namna hii, unafikiri ana smartphone?.Huwa nawaza , hivi nyie mnaoleta story kama hizi huku hamuogopi labda huyo mnaomzungumzia anaweza kuwa yupo humu na yeye? Au huwa mna twist story kidogo?