Nilikuwa namjaribu kaja mazima ANATAKA ndoa nambwagaje!?


Kwa hizi Tabia kukataa kuoa single Mother ni dhambi maana Tabia Kama hizi huzalisha single mothers!
 
Kwa nini ulitumia Gia ya ndoa wakati unajua hilo ndo tatizo kubwa la dada zetu???muoe acha ungese ama ushushwe busha
 
Muoe tu.Mkeanayekufaa ni huyo Cha muhimu kwa sasa ni wewe kufuata sasa taratibu za kuoa kama vile kununua JIKO,Kumpa matumizi n.k.
 
Masikhara yanawakosti wanaume wengi sana. Ni muda mwafaka wa kuingia kwenye ndoa Sasa.

Ukizingua litakupata jambo hutaamini maana pia Mungu Huwa Yuko upande wao hawa viumbe dhaifu.
 
Msi Msingizie amekusaliti, mpe tuhuma nyingi za usaliti na usielewe utetezi wake wowote.
 
Kapela shule ya msingi, ni home Kabisa kama Siyo Dada yangu sijui tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…