Nilikuwa nasikia tu kwa wengine, leo yamenikuta

Hii dinner uliyoenda kupata ni ya siku ngapi mbona urudi mkuu..
 
Akirudi niite...


 
Reactions: BAK
Pole ndg. Mmmh, ila nyie ma Dr ni hatare!

Vp ulimudu BP pale Taxi ilipo timua vumbi?
 
Atakuwa anasutwa na watenda wake huko! !
Maana wameona anaanza leta matukio hapa akijua hawapo!
Shughuli anayo
 

Kwahiyo kugawa K yako ni bonge la mtaji?
 
huyu jamaa vip!? dinner mpaka leo!? au ametwaliwa nini!!!!😕
 
Ndio maana unachapiwa demu alishakuona muongo muongo na hauna future,umesema utaleta habari baadae Mpaka sasa haujaleta na utachapiwa sana.
 
Ukishapata dinner endelea na mambo yako tu.
Hamna ishu.
Yule dada usiyempenda ukampa mimba aliyokutega nayo nadhani inabidi ujifikirie mara mbili mbili.
Lea mtoto huku ukiomba kudumisha mahusiano zaidi
 
Oya...
njo malizia... dinner had leo... haijaisha tu
 
Kila kitu ni jinsi ulivo kiendekeza na kukikaribisha moyon mwako, kunawanaoumia kupoteza wapenzi wao (hata ndoa hawajafunga) kuliko msiba wa ndugu zao. MAHABA MUUE ATUACHIE MPENZI WAKE SS SHEMEJI ZAKE TUDUMISHE UTARATIBU ALIOUACHA MAREHEMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…