Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ndio kwanza anawasha jiko la mkaa apike mboga mpaka iwive aweke maji ya ugali jikoni yachemke asonge ugali ale akimaliza hapo yuko hoi bin taabani ataamua kulala tu. Kwa hiyo Mkuu bora ulale tu hii habari itaendelea jamaa akishaamka 🙂🙂
Akirudi niite...
na nyie wanaume mmezidi ubahili na ubabe.wanaume wengine hata kumnunulia mpenzi wako hata zawadi huwezi, kila kitu ubabe, hujui kubembeleza , kila kitu usikilizwe wewe agrrrr ngoja tu mdanganywe bwana.ila mapenzi yanauma jaman bora mie nimeamua moja kumpenda mungu.mume wangu yesu tu basi.
Na ujitahidi umalizie Leo Leo hii story, kha
Yaan nimegundua mara nyingi mmoja akiwa mwaminifu mwingine lazima awe msaliti.....yaan...mmh hili ni janga at.