Nilikuwa nawatetea sana singo mama lakini kwa hili la huyu mama limenikata maini kabisa

Nimejikuta namtukania uchi wake huyo binti
 
Kwa nini wasiende kuzika Kwa baba yake muislam na matanga wakafanyia huko!!????
 
Kwahiyo jamaa aliwapigia simu polisi na kuwaagiza waende msikitini kuzuia mazishi? Kwa polisi Hawa ninaowajua Mimi hapo itakuwa katembeza mpunga mrefu sana, alafu huyo jamaa hajielewi maana mtoto sio wake ni wa mwanamme mwenzake ambaye ni muislamu sasa anampangiaje namna ya kumzika?
 
Mazishi yakafanyike huko kwa akina mwanamke.

Ni vema pia kuheshima maamuzi ya mwenye kaya.

Sasa hapo fikiria, marehemu anampambania azikwe kwa dini ya mumewe. Je, angekuwa hai mtoto? Ungemkataza kutowasiliana na babaye? Ungemkataza kukutana naye?
Na kama kuna ndoa hapo ndo mwisho wake

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Ingekuwa rahisi mtoto akazikwe huko kwa baba yake na msiba ukafanyike kwa baba yake
Na huyo baba sio kichaa

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Huyo mtoto baba yake ni yupi? Maana maelezo yake yanaonyesha kuna baba wawili tofauti ndiyo baba wa huyo mtoto, acha huyu baba mlezi
 
Sina cha kuongeza
 
Sawa,ni jambo la kukaa kuzungumza tu, bwana nae mnoko[emoji706],


Jambo dogo kukimbilia polisi.
Mkuu, bwana yule sio mnoko bali kinacho muumiza ni malezi.
Mama alimlea mtoto kama mwanae wa kuzaa, hii ndio hasa inayo tuumiza siai wanaume.
Na ndio maana mie skuzote nasema, mwanaume unapaswa umhudumie mtoto wa mke wako na sio kumlea sababu hakuna namna itabadilika kwamba huyo mtoto wa mkeo ni wako ama nyumbani kwao ni kwako.
 
Kiufupi huyo jamaa hana umwanaume na alishaamua kuoa mtu aliezaa tayari si awe mstaarabu mtoto azikwe kwani atapungukiwa nn hajui tu kuwa kama mwanaume
 
Yaani watu wanagombania maiti , aiseee... Hii hatar , mtu akifa amekufa tuu , cha msingi amestiriwa kama binadamu bas .... Sema hzi dini hzi mnaweza uana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…