Nilikuwa nawatetea sana singo mama lakini kwa hili la huyu mama limenikata maini kabisa

Nilikuwa nawatetea sana singo mama lakini kwa hili la huyu mama limenikata maini kabisa

Kwahiyo jamaa aliwapigia simu polisi na kuwaagiza waende msikitini kuzuia mazishi? Kwa polisi Hawa ninaowajua Mimi hapo itakuwa katembeza mpunga mrefu sana, alafu huyo jamaa hajielewi maana mtoto sio wake ni wa mwanamme mwenzake ambaye ni muislamu sasa anampangiaje namna ya kumzika?
sasaa mtoto mdogoo hivyoo walishindwa vipi yeye na mama yake kumlee mpaka kaendaa kumuweka chini ya himaya ya mwanume mwingine??? yani wewe leo umwagee shahawa zakoo ukimbiee alafu keshoo uje kudaii mtoto wako azikwee kwa dini yako???ar u kengeeee??? sema mwanamkee ni single mazaaa hivyo kichwani hazimoo ndo maana kuna utataa.. UKIMTELEKEZA MWANAO JUA HUNA HAKI NAE TENAA LABDA YEYE AAMUE KUKUFATA.
 
Kuna binti tumepanga nae pamoja hapa....alimkimbia mumewe Kwa kipigo cha mbwa mwizi...I mean walishindwana Kwa njia hiyo....sasa Kuna mwamba alimchukua waishi naye....jamaa anamhandle vizuri tu ila kasoro yake jamaa ni Lazima apitie kunywa kidogo ndo arudi skani.....namsikia binti akijiongelesha "Yaan baba Fulani alikuwa hanywi kabisa!"....nikamuuliza wamaanisha Nini? Eti,mi Bora nirudi tu Kwa mume wangu[emoji15].......kipigo cha hospital vs pombe kidogo tu[emoji2955] au mie ndo sielewi eti?
Ukipenda boga penda naua lake, mpe hii taarifa
 
Dadeki hiyo ni nguvu ya pesa..
Jamaa sio baba wa mtoto ila anamamlaka juu ya mtoto asie wake, na mwamba hayupo jeshi la polisi linamsubiri aje atoe tamko alooo.

Mchaga anaporwa mtoto hivihivi aisee , ama kweli yani mwanao anaweza badilishwa hadi ubini kabisa.

Na wewe mleta uzi huyo singo maza ana kosa gani?? Mbona yeye ndio kaonewa sasa kwanini unamshutumu??
Hizi ndio changamoto za kuoa singo maza plus kuoana dini tofauti
 
Kwahiyo jamaa aliwapigia simu polisi na kuwaagiza waende msikitini kuzuia mazishi? Kwa polisi Hawa ninaowajua Mimi hapo itakuwa katembeza mpunga mrefu sana, alafu huyo jamaa hajielewi maana mtoto sio wake ni wa mwanamme mwenzake ambaye ni muislamu sasa anampangiaje namna ya kumzika?
Tatizo alitaka afanye mazishi kwa mumewe hata Mimi nisingekubali.
 
Hana shukrani huyo mwanamke. Ila na nyie mnaokimbilia single mothers wekeni misimamo yenu mapema ili muishi mkifahamu likitokea la kutoa mjue mliposimamia
 
Kuanzia leo sitalaumu kebehi zinazoelekezwa kwetu. Nilitamani sana nisichangie hii mada, ila kwa namna friji langu haligandishi acha niserereke. Aliyeturoga ni nani?? Upendo wa baba wa watu, leo umegeuka kejeli kwake..unamzomea right in his face. Siangalii sana mambo ya dini maana dini zina wenyewe, ninachoujiuliza is this woman in her right state of mind??

Hili jambo lilikua ni la kukaa chini na kusikilizana, lakini mpaka global tv unahojiwa, unadiriki kusema au kisa we baba una hela!! Hela zake hukuzikataa kipindi ameamua kukufuta machozi ya kukataliwa?? Sisi ndio tunaowafanya wanaume wawe the so called "mbwa". We are the ones who created them, nonsense..
Umeongea kwa busara na hekima sana. Umeangalia kwa jicho la ndani. Sikujua kuwa JF sometimes wanakuwepo wanawake wenye akili hivi. Nlijua ni wale tu akina Turudie, Tuliwe, Mtu Pesa, Chawote n.k. hongera sana.
 
Ninachoona hapa kuna battle kati ya wanaume waliotelekeza wanawake waliowazalisha na hawapendi wanawake hao waolewe na mtu mwingine bali wabaki na mateso versus wanaume wenye nia njema ya kubeba majukumu lakini wanataka kusimamia uanaume wao kikamilifu ikiwemo all about mtoto aliyeamua kumbeba kama wa kwake. Haya magumu tumejitengenezea sisi wanadamu. Heshima, hekima laiti vingezingatiwa, tusingefika hapa leo. Mtu asie na shukrani ni mzigo kwa jamii daima.
 
Hana shukrani huyo mwanamke. Ila na nyie mnaokimbilia single mothers wekeni misimamo yenu mapema ili muishi mkifahamu likitokea la kutoa mjue mliposimamia

Huwezi kuwa mwanaume mwenye msimamo alafu muda huohuo ukaoa single mother. Haijawahi kutokea. Labda awe MKE wa pili au watatu Huko. Lakini kabisakabisa mwanaume anaoa MKE mmoja alafu huyohuyo ni single mother. Ninakuambia hawezi kuwa na msimamo.

Hata Mama zetu wanalijua Hilo. Ukimletea Mwanamke Single mother Kwa kweli Mama zetu hutudharau
 
Hao ndivyo walivyo. Kuzaa azae mwingine wewe usilimishe hata maiti! Ujinga na ubinafsi mtupu. Acha mama azike mwanae atakavyo
Ila kulelewa alilelewa na huyo huyo kafir? Kwenye kuzika tu ndo dini yake inaingia? Hizi akili za kuvalia nguo tu. Ilitakiwa toka mwanzo asiruhusiwe kabisa kukaa na huyo mtoto. Asimelee kabisa. Naye bwege sana. Aache huyo mtoto azikwe atakavyo na huyo mwanamke aende kwa mumewe wa kwanza akapate mimba nyingine.
 
Huwezi kuwa mwanaume mwenye msimamo alafu muda huohuo ukaoa single mother. Haijawahi kutokea. Labda awe MKE wa pili au watatu Huko. Lakini kabisakabisa mwanaume anaoa MKE mmoja alafu huyohuyo ni single mother. Ninakuambia hawezi kuwa na msimamo.

Hata Mama zetu wanalijua Hilo. Ukimletea Mwanamke Single mother Kwa kweli Mama zetu hutudharau
Na hakuna mama anaependa mtoto wake aoe single maza

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mchagga alikubali kulelewa mtoto na baba wa jambo ni mchagga wa wapi?
 
Back
Top Bottom