Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Ndio hivyo, kama jamaa anaona kadharauliwa ampige chini demuWaende wakafanyie ayo mazishi kwa baba yake muislamu.Watoke kwa uyo jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo, kama jamaa anaona kadharauliwa ampige chini demuWaende wakafanyie ayo mazishi kwa baba yake muislamu.Watoke kwa uyo jamaa
Jumlisha kuoa au kuolewa na mtu mwenye msimamo mkali wa dini ambayo siyo yako.Haha ivi vibwengo kataa naapa siji oa single mother.
sasaa mtoto mdogoo hivyoo walishindwa vipi yeye na mama yake kumlee mpaka kaendaa kumuweka chini ya himaya ya mwanume mwingine??? yani wewe leo umwagee shahawa zakoo ukimbiee alafu keshoo uje kudaii mtoto wako azikwee kwa dini yako???ar u kengeeee??? sema mwanamkee ni single mazaaa hivyo kichwani hazimoo ndo maana kuna utataa.. UKIMTELEKEZA MWANAO JUA HUNA HAKI NAE TENAA LABDA YEYE AAMUE KUKUFATA.Kwahiyo jamaa aliwapigia simu polisi na kuwaagiza waende msikitini kuzuia mazishi? Kwa polisi Hawa ninaowajua Mimi hapo itakuwa katembeza mpunga mrefu sana, alafu huyo jamaa hajielewi maana mtoto sio wake ni wa mwanamme mwenzake ambaye ni muislamu sasa anampangiaje namna ya kumzika?
Ukipenda boga penda naua lake, mpe hii taarifaKuna binti tumepanga nae pamoja hapa....alimkimbia mumewe Kwa kipigo cha mbwa mwizi...I mean walishindwana Kwa njia hiyo....sasa Kuna mwamba alimchukua waishi naye....jamaa anamhandle vizuri tu ila kasoro yake jamaa ni Lazima apitie kunywa kidogo ndo arudi skani.....namsikia binti akijiongelesha "Yaan baba Fulani alikuwa hanywi kabisa!"....nikamuuliza wamaanisha Nini? Eti,mi Bora nirudi tu Kwa mume wangu[emoji15].......kipigo cha hospital vs pombe kidogo tu[emoji2955] au mie ndo sielewi eti?
Hizi ndio changamoto za kuoa singo maza plus kuoana dini tofautiDadeki hiyo ni nguvu ya pesa..
Jamaa sio baba wa mtoto ila anamamlaka juu ya mtoto asie wake, na mwamba hayupo jeshi la polisi linamsubiri aje atoe tamko alooo.
Mchaga anaporwa mtoto hivihivi aisee , ama kweli yani mwanao anaweza badilishwa hadi ubini kabisa.
Na wewe mleta uzi huyo singo maza ana kosa gani?? Mbona yeye ndio kaonewa sasa kwanini unamshutumu??
Huyu mama akazikie ujombani. Ila kutaka mazishi yaendeshwe kwa mwanaume ni kumuaibisha.Hao ndivyo walivyo. Kuzaa azae mwingine wewe usilimishe hata maiti! Ujinga na ubinafsi mtupu. Acha mama azike mwanae atakavyo
Tatizo alitaka afanye mazishi kwa mumewe hata Mimi nisingekubali.Kwahiyo jamaa aliwapigia simu polisi na kuwaagiza waende msikitini kuzuia mazishi? Kwa polisi Hawa ninaowajua Mimi hapo itakuwa katembeza mpunga mrefu sana, alafu huyo jamaa hajielewi maana mtoto sio wake ni wa mwanamme mwenzake ambaye ni muislamu sasa anampangiaje namna ya kumzika?
Kabisa mkuuUkipenda boga penda naua lake, mpe hii taarifa
Binafsi sioni sababu ya jamaa kumkazia huyo dada ninachokiona ni kama wanatunishiana misuli tu, namshauri jamaa aruhusu dogo azikwe kwa Imani ya baba yake mzazi Kisha wakimaliza mazishi ampige chini huyo demuTatizo alitaka afanye mazishi kwa mumewe hata Mimi nisingekubali.
Umeongea kwa busara na hekima sana. Umeangalia kwa jicho la ndani. Sikujua kuwa JF sometimes wanakuwepo wanawake wenye akili hivi. Nlijua ni wale tu akina Turudie, Tuliwe, Mtu Pesa, Chawote n.k. hongera sana.Kuanzia leo sitalaumu kebehi zinazoelekezwa kwetu. Nilitamani sana nisichangie hii mada, ila kwa namna friji langu haligandishi acha niserereke. Aliyeturoga ni nani?? Upendo wa baba wa watu, leo umegeuka kejeli kwake..unamzomea right in his face. Siangalii sana mambo ya dini maana dini zina wenyewe, ninachoujiuliza is this woman in her right state of mind??
Hili jambo lilikua ni la kukaa chini na kusikilizana, lakini mpaka global tv unahojiwa, unadiriki kusema au kisa we baba una hela!! Hela zake hukuzikataa kipindi ameamua kukufuta machozi ya kukataliwa?? Sisi ndio tunaowafanya wanaume wawe the so called "mbwa". We are the ones who created them, nonsense..
Hana shukrani huyo mwanamke. Ila na nyie mnaokimbilia single mothers wekeni misimamo yenu mapema ili muishi mkifahamu likitokea la kutoa mjue mliposimamia
Ila kulelewa alilelewa na huyo huyo kafir? Kwenye kuzika tu ndo dini yake inaingia? Hizi akili za kuvalia nguo tu. Ilitakiwa toka mwanzo asiruhusiwe kabisa kukaa na huyo mtoto. Asimelee kabisa. Naye bwege sana. Aache huyo mtoto azikwe atakavyo na huyo mwanamke aende kwa mumewe wa kwanza akapate mimba nyingine.Hao ndivyo walivyo. Kuzaa azae mwingine wewe usilimishe hata maiti! Ujinga na ubinafsi mtupu. Acha mama azike mwanae atakavyo
Na hakuna mama anaependa mtoto wake aoe single mazaHuwezi kuwa mwanaume mwenye msimamo alafu muda huohuo ukaoa single mother. Haijawahi kutokea. Labda awe MKE wa pili au watatu Huko. Lakini kabisakabisa mwanaume anaoa MKE mmoja alafu huyohuyo ni single mother. Ninakuambia hawezi kuwa na msimamo.
Hata Mama zetu wanalijua Hilo. Ukimletea Mwanamke Single mother Kwa kweli Mama zetu hutudharau
Wanawake huwamisi wanaume wanaowapiga hii nimeiona sana mpige mkeo hata kidgo then mbembeeze mkande kande asiposhukuru unamwanzia tena kipondoNduguze hawataki hata kumsikia huyo bwana maana mtoto wao mpaka aliponea hospital
Sawa mkuuWanawake huwamisi wanaume wanaowapiga hii nimeiona sana mpige mkeo hata kidgo then mbembeeze mkande kande asiposhukuru unamwanzia tena kipondo