Nilikuwa nawatetea sana singo mama lakini kwa hili la huyu mama limenikata maini kabisa

Nilikuwa nawatetea sana singo mama lakini kwa hili la huyu mama limenikata maini kabisa

Na hakuna mama anaependa mtoto wake aoe single maza

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app

Saikolojia ya Mwanamke ni kuwa hawezi mpenda mumewe kuliko mtoto wake. Hiyo Ipo hivyohivyo.
Mpaka hapa mwanaume mwenye Akili anaweza kujiongeza.
Kila afanyacho Mwanamke ni kwaajili ya Watoto wake. Inakuwa nzuri kama umemuoa mkazaa wote pamoja. Lakini kama ni Watoto wa mwanaume mwingine. Hiyo ni kipengele
 
Binafsi sioni sababu ya jamaa kumkazia huyo dada ninachokiona ni kama wanatunishiana misuli tu, namshauri jamaa aruhusu dogo azikwe kwa Imani ya baba yake mzazi Kisha wakimaliza mazishi ampige chini huyo demu
Achukue maiti yake akazike popote atakapoona inafaa.

Kuamua kuzika kwangu ni kukubaliana na taratibu nitakazoweka. Machaguo ni mawili tu
1. Akazike popote anapopajua, akimaliza atarudi

2. Azike kwangu, kwa gharama zangu kama nilivyo mlea mwanaye na kwa utaratibu nitakao utaka mimi. Yeye kazi yake ni kulia tu
 
Kuna binti tumepanga nae pamoja hapa....alimkimbia mumewe Kwa kipigo cha mbwa mwizi...I mean walishindwana Kwa njia hiyo....sasa Kuna mwamba alimchukua waishi naye....jamaa anamhandle vizuri tu ila kasoro yake jamaa ni Lazima apitie kunywa kidogo ndo arudi skani.....namsikia binti akijiongelesha "Yaan baba Fulani alikuwa hanywi kabisa!"....nikamuuliza wamaanisha Nini? Eti,mi Bora nirudi tu Kwa mume wangu[emoji15].......kipigo cha hospital vs pombe kidogo tu[emoji2955] au mie ndo sielewi eti?
Halafu waking'olewa meno kwa plaizi na kutolewa ngeu ya macho wanaharakati wanasema Wanaume ndio wasababishaji kumbe hawa viumbe ndizo raha wanazitafuta kwa nguvu zao wenyewe sio kwa kushinikizwa.
 
HUyu mwanamke aliolewa akiwa na mtoto mwenye umri wa miezi 6 na jamaa mkatoriki

Mtoto kafariki akiwa mkubwa,huyo mwanamke anataka mtoto azikwe kwa imani ya kiislamu

Ebu fikiria nyumbani kwako kufanyike ibada ya imani tofauti na yako,wewe baba wa familia utajisikiaje

Jamaa kaamua kwenda polisi kuzuia maziko.

--

View attachment 2665378

Taharuki kubwa imeibuka huko Mkoani Mwanza baada ya mwili wa marehemu kufikishwa msikitini kuswaliwa kwa maziko lakini baba wa marehemu akazuia asizikwe.

Kwa mujibu wa maelezo ya mama wa marehemu huyo, kabla ya kuolewa mwanaume huyo alimkuta akiwa na mtoto wa miezi sita na kwamba mtoto huyo ana baba yake mwingine ambaye ni Mchaga na ni Muislamu.

Mara baada ya kufariki kwa mtoto huyo, mwanaume huyo ameibuka na kusema kwamba hataki mtoto huyo azikwe kiislamu huku mama wa mtoto akiweka wazi kwamba mtoto huyo siyo mkristo na hivyo anaomba mtoto wake azikwe kwa kufuata taratibu za dini yake ambayo ni dini ya kiislamu.

Aidha, kutokana na mvutano huo, Jeshi la Polisi limelazimika kuingilia kati na kuahirisha mazishi hayo mpaka pale mwanaume huyo aliyedai kwamba mtoto huyo asizikwe kiislamu ataporejea.
Huyo mwanamme ndiye anatakiwa ajitafakari vizuri kwani hayo mambo walikuwa wayamalize kabla ya kuoana au kama ilikuwa sogea tuishi basi wayajadili mara tu baada ya kuoana
Imani za dini haziwezi kujadiliwa wakati kumeshatokea tatizo lingine kubwa ....ni too late!
Uzuri wa waislamu hawana mbwembwe za kuzika hata akimuachia atazikwa tu vizuri!
 
Mazishi yakafanyike huko kwa akina mwanamke.

Ni vema pia kuheshima maamuzi ya mwenye kaya.

Sasa hapo fikiria, marehemu anampambania azikwe kwa dini ya mumewe. Je, angekuwa hai mtoto? Ungemkataza kutowasiliana na babaye? Ungemkataza kukutana naye?
Wanawake wapo Loyal na hisia zao hawapo Loyal kwa mwanaume. Ndio maana vitabu vya dini vyote vinataka mwanamke awe under control ya mwanaume sababu hana mshipa wa kujisimamia kimaamuzi na kutimiza ahadi kwa muda mrefu.
 
Kuanzia leo sitalaumu kebehi zinazoelekezwa kwetu. Nilitamani sana nisichangie hii mada, ila kwa namna friji langu haligandishi acha niserereke. Aliyeturoga ni nani?? Upendo wa baba wa watu, leo umegeuka kejeli kwake..unamzomea right in his face. Siangalii sana mambo ya dini maana dini zina wenyewe, ninachoujiuliza is this woman in her right state of mind??

Hili jambo lilikua ni la kukaa chini na kusikilizana, lakini mpaka global tv unahojiwa, unadiriki kusema au kisa we baba una hela!! Hela zake hukuzikataa kipindi ameamua kukufuta machozi ya kukataliwa?? Sisi ndio tunaowafanya wanaume wawe the so called "mbwa". We are the ones who created them, nonsense..
Naomba nikupongeze na kukupatia mauwa yako kwa kuwa muwazi, direct na kuwajibika na kuwaweka wanawake accountable kwa matendo yao, hakika ni adimu sana kukutana na mwanamke wa kariba yako ulimwengu wa wanawake vilaza kama huu wa sasa.

Wanawake wengi ni aidha watakaa kimya katika tukio kama hili au watakwenda direct into defensive mode kwa kuchagua angle ya kujitetea kwa jambo lingine kabisa la kipuuzi na kuzidi kuprove point kuwa wanawake ni wabovu katika kufikiria sawa sawa.

Ingekuwa wanawake wote wana approach kama yako hii nyakati za matukio ya kijamii kama haya then hii jamii ingepiga hatua sana.
 
Baba mzazi wa mtoto ni Muislam je mtoto yeye amelelewa kwenye dini gani?
Kutokana na maelezo mtoto alianza kulelewa na baba wa kambo akiwa na miezi 6 na amefariki akiwa mkubwa. Je mtoto hakubatizwa?
 
Baba mzazi wa mtoto anasemaje?
Asichokijua mzazi wa kufikia ni kwamba mbinguni hauendi kwa kuzikwa kikristo. Ni maisha kabla ya kufa ndiyo yanayoamua utakakokwenda. Ingekuwa arusi sawa.Ila siyo jinsi ulivyozikwa .Mungu huwa hapokei roho ya mtu aliyekufa kabla ya kutubu.So mashindano ya hivyo hayana maana yoyote kabisa
Kama haujaelewa nikuelekeze tu kuwa huyu mwanaume au baba mlezi anachokipigania hapo si mtoto ambaye si wake kuzikwa kwa imani anayoiamini yeye.

Bali anachokipigania hapo ni ile Heshima ambayo mwanamke kaichukua kwa kumuonyesha dharau kuwa yeye hana mamlaka mbele yake.

Yaani hapo kwa tafsiri ya haraka ni kuwa huyu mwanamke anamhusudu baba mtoto zaidi kuliko yeye aliyelea mtoto tokea akiwa kichanga cha miezi sita.

Hii ni sawa na kutoa pesa ya chakula halafu urejee ukute hakujabakizwa kitu wala kuwekewa kitu ulale na njaa hii itakufanya ujisikiaje?

Nadhani tukubaliane tu kuwa mwanamke hana adabu. Hapo amemuonyesha huyu mwanaume wa sasa kuwa yeye hamtambui kama kiongozi wake sababu nina uhakika lilimjia wazo kuwa huyu mtoto tulipotoka nae akiwa kichanga baba yake alikuwa ni mwislam ila tukaja kuishi na baba mkristo, hivyo basi ukiwa nyumba ya mwanaume mkristo utafuata tamaduni za wakristo kwenye shida na raha, ibada, sherehe na matukio yote utajifunza utamaduni wao maisha yataenda na utacope vema tu na kufurahia maisha.

Huyu mwanamke ndie tatizo, sio baba mtoto, sio mtoto wala sio huyu baba mlezi.
 
Single mama tafuna tu kisha sepa. Sio watu wa kuwaamini wala kuwaonea huruma
 
Kuna binti tumepanga nae pamoja hapa....alimkimbia mumewe Kwa kipigo cha mbwa mwizi...I mean walishindwana Kwa njia hiyo....sasa Kuna mwamba alimchukua waishi naye....jamaa anamhandle vizuri tu ila kasoro yake jamaa ni Lazima apitie kunywa kidogo ndo arudi skani.....namsikia binti akijiongelesha "Yaan baba Fulani alikuwa hanywi kabisa!"....nikamuuliza wamaanisha Nini? Eti,mi Bora nirudi tu Kwa mume wangu😳.......kipigo cha hospital vs pombe kidogo tu🤨 au mie ndo sielewi eti?
Nakwqmbia watu tunaweza kuwa na logic za ajabu.....angalia huyo jirani yako sasa....
 
Hata ukiwa nyumbani kwake bado haiathiri chochote kwa mwanaume tena ndio itaonyesha ukomavu wake wa akili na upeo wa maisha sote tunapita vitu kama misiba sio vya kuleta kupishana kauli
Ukomaavu wa akili au nazi?! Yaani unataka jamaa awe kichwa nazi?Unafahamu nini kuhusu mamlaka ya mwanaume, unajua nini kuhusu utawala wa mwanaume katika himaya yake na vyote vilivyopo eneo lake?
 
Huwezi kuwa mwanaume mwenye msimamo alafu muda huohuo ukaoa single mother. Haijawahi kutokea. Labda awe MKE wa pili au watatu Huko. Lakini kabisakabisa mwanaume anaoa MKE mmoja alafu huyohuyo ni single mother. Ninakuambia hawezi kuwa na msimamo.

Hata Mama zetu wanalijua Hilo. Ukimletea Mwanamke Single mother Kwa kweli Mama zetu hutudharau
Nakazia, aoae single maza hana akili kabisa
 
Back
Top Bottom