Nilikuwa sekta binafsi nimehamia serikalini, kuna namna naweza nikapewa michango yangu iliyopo NSSF?

Mikhail Tal

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
505
Reaction score
872
Wakuu salamu. Nilikuwa mwajiriwa wa sekta binafsi ambapo michango yangu ilikuwa ikienda NSSF, sasa nikafanikiwa kuhama huko mwaka 2023 nakuhamia serikalini ambapo mfuko wangun kwa sasa ni PSSSF. Lakini kule NSSF nina michango yangu, hivi nauliza kuna namna naweza nikapewa hiyo michango huko NSSF?

Ni hayo tu asanteni. Naombeni mawazo yenu.

Mimi
Mika
 
Wewe ungefanya kimya kimya uvute huo mpunga wa NSSF ..ukaanze upya na PSSSF!!
Sasa umelisanua..basi nenda NSSF wakupe mwongozo wa kuihamishia michango uliko...nadhani utaandika barua ya kuomba hilo..na PSSSF ungojee mpaka utumishi Serikalini ukome au ukaribie ukomo,ndipo wanaweza kukupa hela.
 
Michango itahamishwa, kuna mwaka nilikuwa mwanachama wa LAPF baadae nikaajiriwa kampuni nyingine kule nikawa niko NSSF, kilichofanyika ni michango yangu ya LAPF ikahamishiwa NSSF, kipindi hicho kulikuwa na ,PPF,LAPF na NSSF kwa sekta binafsi, NSSF watapost hiyo michango PSSSF.
 
ungekua huna kazi , umesimamishwa wangekupa

Hiyo mzee Hadi miaka 60

Labda ufukuzwe KAZI ndiyo utaweza kuzichukua.
 
Wewe ungefanya kimya kimya uvute huo mpunga wa NSSF ..ukaanze upya na PSSSF!!
Sasa umelisanua..basi nenda NSSF wakupe mwongozo wa kuihamishia michango uliko...nadhani utaandika barua ya kuomba hilo..na PSSSF ungojee mpaka utumishi Serikalini ukome au ukaribie ukomo,ndipo wanaweza kukupa hela.
Ningefanyaje mkuu?
 
Michango itahamishwa, kuna mwaka nilikuwa mwanachama wa LAPF baadae nikaajiriwa kampuni nyingine kule nikawa niko NSSF, kilichofanyika ni michango yangu ya LAPF ikahamishiwa NSSF, kipindi hicho kulikuwa na ,PPF,LAPF na NSSF kwa sekta binafsi, NSSF watapost hiyo michango PSSSF.
sawa sawa mkuu, ila mimi nilitaka kama naweza kuzichukua
 
Back
Top Bottom