Mikhail Tal
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 505
- 872
ungekua huna kazi , umesimamishwa wangekupaWakuu salamu. Nilikuwa mwajiriwa wa sekta binafsi ambapo michango yangu ilikuwa ikienda NSSF, sasa nikafanikiwa kuhama huko mwaka 2023 nakuhamia serikalini ambapo mfuko wangun kwa sasa ni PSSSF. Lakini kule NSSF nina michango yangu, hivi nauliza kuna namna naweza nikapewa hiyo michango huko NSSF?
Ni hayo tu asanteni. Naombeni mawazo yenu.
Mimi
Mika
Ningefanyaje mkuu?Wewe ungefanya kimya kimya uvute huo mpunga wa NSSF ..ukaanze upya na PSSSF!!
Sasa umelisanua..basi nenda NSSF wakupe mwongozo wa kuihamishia michango uliko...nadhani utaandika barua ya kuomba hilo..na PSSSF ungojee mpaka utumishi Serikalini ukome au ukaribie ukomo,ndipo wanaweza kukupa hela.
Asante nitafanya hivoNenda nssf watakupa muongozo
sawa sawa mkuu, ila mimi nilitaka kama naweza kuzichukuaMichango itahamishwa, kuna mwaka nilikuwa mwanachama wa LAPF baadae nikaajiriwa kampuni nyingine kule nikawa niko NSSF, kilichofanyika ni michango yangu ya LAPF ikahamishiwa NSSF, kipindi hicho kulikuwa na ,PPF,LAPF na NSSF kwa sekta binafsi, NSSF watapost hiyo michango PSSSF.
Duh hapo sawaungekua huna kazi , umesimamishwa wangekupa
Hiyo mzee Hadi miaka 60
Labda ufukuzwe KAZI ndiyo utaweza kuzichukua.