Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Hahahahahah...Pasco mzee wa falsafa na indirect puzzle, ni kweli brittanica ni muongo kweli....
 
Nchi ni kama nyumba.

Kuna kijana alikuwa anaishi na mama yake wa kambo. Kama ujuavyo samaki mkunje angali mbichi. Mama wa kambo alikuwa sheria kali akilea familia yake kwenye misingi yote ya ulokole.

Lakini wajua ujana maji ya moto. Kijana alikuwa akitaka kufanya mambo yake basi anatafuta chimbo lake na kufanya yake.

Siku ya siku anatoka kwenye mlango wa nyumba ya wenyeji anakutana na mama yake wa kambo kashikiliwa na janadume lingine ambalo sio baba yake.

Nyumba ilikuwa chungu kwa kijana kutokana na 'kufuata fomula ya kutokusema kila unachokiona' na ulokole ukakata kabisa.

Mama yule alikuwa ameshapoteza morality ya kusema chochote kwa yule kijana.

Kijana alikuwa anajiuliza maswali mengi.
Je mzee wake akiambukizwa magonjwa itakuaje??

Ustawi na usalama wa familia utaendeleaje kwenye hali ile?

Siku mama yake akiamua kufungasha virago na kwenda kwa janadume lile lingine, baba yake mzazi atabaki kwenye hali gani??

Na je hilo likitokea,hatia atakayokuwa nayo moyoni kwa kutokusema ataweza kuibeba??
 
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Endelea kua na imani
 
Kwani hiyo nchi ya Guam haina kaka wakubwa wa ulinzi?
Inaelekea hiyo nchi ya Guam ,Kaka wakubwa wana malahi mazuri sana kwa hiyo hawana uwezo wa kukataa hayo mambo.
Kila mtu anaangalia maslahi yake kwanza.
Wadogo zao huenda ndio wanakereka kwa sababu wanaona pesa za nchi yao zinaenda kwa majirani zao kulipia wawekezaji wa ulinzi ili hali wao nao wanauweze wa kufanya kazi hiyo!!
 
We madhara yake huyajui?
Ina maana mtu akilala na mke wako we huoni shida yoyote kamanda????
Haina shida mkuu, hata wewe mke wako kuna wanaomlala sema bado hujajua tu!
 
Lipumba baada ya kujitoa ukawa alienda Rwanda

influence ya Rwanda katika uchaguzi ilikuwaje? Na nia ya Rwanda ku-influence siasa za zetu ni nini?Naona walijaribu Burundi wakashindwa,DRC Rwanda imeendesha vita kwa muda mrefu wakitaka kupandikiza uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…