Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Kaka umepotea sana Mkuu kuna ubishi huku mtaani watu wanasema na wewe umehakikishiwa Wilaya ndio maana umeweka mikono nyuma
Mkuu Kiongwe, sijaweka mikono nyuma popote, ila siku hizi nimekuwa mzalendo zaidi kwa kutanguliza mbele maslahi ya Taifa. Hili la kuhakikishiwa wilaya huku ni kama kunitukana fulani, please!.
P
 

Na huyu mwenye mawazo kama haya usidhani anatania.

Hivi ndivyo anavyojua na kuamini yeye.

Ni maajabu makubwa, kazi anayoifanya Muumba wetu, kama kweli yupo!

"---wanajeshi wa nchi nyingine wanajikuta wanashindwa kujizuia mpaka wanaamua kuja kuomba ajira kwenye nchi yetu."
Kwa hiyo, kwa vile 'tumepiga hatua sana,' tunaamua kuwapa kazi ya kumlinda mtu wetu aliyetufanya tupige hatua sana!
 
Pumbavuuuu kabisa!!!!hizi taarifa za kishenzi huwa mnazitolea wapi????haiwezekani na haitawezekana!!!!!vyombo vyetu vya ulinzi vipo imara kufanya ulinzi kwa VIP's wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakika paschal sasa nimeshathibitisha wewe ni wa kitengo.
Kama uthibitisho wenyewe wa watu wa kitengo ndio huu wa kupitia mabandiko humu jf, then, tuna wataalam wazuri na mahiri sana wa utambuzi.
Umepatia, mimi ni wa kitengo, ofisi yangu ni lile jengo meli pale St. Peters. Kule kazini, tuna majina yetu ya kazini, jina langu la kazini naitwa Chifu. Karibu sana tutembeleane, ukifika tuu getini wewe sema ni mgeni wa Chifu.

P
 
Nilikuwa nafatilia nyuzi zako ukajaribu kunishawishi kwa nyuzi zako lakini kwa hii inaweza kuwa imezishidishwa mno sukari na kuwa chai tamu. Its too good to be true. Rais hajiamulii masuala ya usalama wake.
 
Nilikuwa nafatilia nyuzi ukajaribu kunishawishi kwa nyuzi zako lakini kwa hii inaweza kuwa imezishidishwa mno sukari na kuwa chai tamu. Its too good to be true. Rais hajiamulii masuala ya usalama wake.
Ndiyo maana nashangaa bado
 
Ila nyie watu wa vibonzo mnaniacha hoi, kwahiyo Pombe analazimisha maksai wasonge mbele wakilima asijue maksai wamemgeuka mda wowote wanaweza kumdhuru.
[emoji23][emoji23][emoji23] Anawalimisha kinyumanyuma!
 
Kuna mambo unakufa kizungu na tai shingoni, hadi kaburini unakwenda nayo.
Vitu vingine sio vya kusema kabisa kama uongo mkubwa sana kama huu.
P
 
Hahahaaaaa,,,,,
 
Umeirudia comment hii umesahau kumwambia kwamba akija kukutafa asije ijumaa maana familia imaweza kumtafta akiwa yuko mikono salama mpaka apatikane ni siku ya kazi jumatatu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…