Acha jamaaa awaswage na mijitu inachekelea kuswagwa[emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 945003
Britannica muongo sana, anatunga uongo mkubwa sana unaokaribiana kufanana na ukweli, ili kiukweli ana kipaji cha kuaminika, hapa karibu wote wameamini, akifungua kanisa lake, atapata sana waumini, Gwajima, Kakobe, Mzee wa Upako na Mwingira, watasubiri.Hahahahahah...Pasco mzee wa falsafa na indirect puzzle, ni kweli brittanica ni muongo kweli....
Mkuu namuogopa Mungu nitapunguza uongoBritannica muongo sana, anatunga uongo unaofanana na ukweli, ili kiukweli ana kipaji cha kuaminika, akifungua kanisa lake, Gwajima, Kakobe, Mzee wa Upako na Mwingira, watasubiri.
P
Du!, Mkuu Britannica, kumbe kipaji chako sio cha kudanganya tuu uongo unaofanana na ukweli, bali pia una kipaji cha kumbukumbu!, au na wewe ni mtu wetu lakini hutujuani?.Umeirudia comment hii umesahau kumwambia kwamba akija kukutafa asije ijumaa maana familia imaweza kumtafta akiwa yuko mikono salama mpaka apatikane ni siku ya kazi jumatatu 😀😀😀😀
Wewe ulikuwa umezaliwa miaka hiyo unayosema kuhusu mwalimu kulindwa na NORTH KOREA?Ajabu ipo wapi mbona mwalimi nyerere alikuwa analindwa na polisi wa North korea miaka ya 80 kipindi coup zilikuwa zinashamiri
Amen, kwa vile mimi ni mlokole, nitakuweka kwenye sala kwa kufunga na kuomba.Mkuu namuogopa Mungu nitapunguza uongo
😀😀😀😀😀😀Du!, Mkuu Britannica, kumbe kipaji chako sio cha kudanganya tuu uongo unaofanana na ukweli, bali pia una kipaji cha kumbukumbu!, au na wewe ni mtu wetu lakini hutujuani?.
P
Some folks are always seek to ostracize rather than love and try to show support for what is ours.Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
Mkuu umejibu kwa akili kubwaa sana hapaKuna mambo unakufa kizungu na tai shingoni, hadi kaburini unakwenda nayo.
Vitu vingine sio vya kusema kabisa kama uongo mkubwa sana kama huu.
P
Binafsi namuamini sana mkuu britanicca, basing on his previous threads i bet even on this thread the man is correct.Taarifa nyingi za mleta thread huwa naziamini zaidi ya 99%..... Tulisha ingizwa kingi
Uchumi wa Tanzania ulipo unasikitisha sana
Binafsi namuamini sana mkuu britanicca, basing on his previous threads i bet even on this thread the man is correct.Taarifa nyingi za mleta thread huwa naziamini zaidi ya 99%..... Tulisha ingizwa kingi
Uchumi wa Tanzania ulipo unasikitisha sana
Mlimwona Mange ni kichaa. Wapo waliopo ndani ya serikali hawafuhishwi kabisa na anayoyafanya Magufuli. Na wao kuongea wanaogopa ndio hao hao wanamtumia Mange yote yanayotendeka. Na mlipoambiwa Magufuli ni mrundi hamjaamini mpaka hiyo siku atakapotomkia kwao ndio utasema kumbe yule mwanadada alikuwa anasema ukweli. Yaani watanzania wote wamegwaya kwa mrundi yaani hata jeshi letu limetekwa nao wako kimya wanaacha Tanzania inaangamia kwa kumwogopa raia wa nchi nyingine afanye anavyotaka.Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
Mnyamulenge... Wataalamu wa vita vya kimbari. Doooh!!!!Mkuu naishia hapo na sitasema tena ila nimeumia mno, huyu mtu alosema bado yupo kwenye systems tena ngazi zenyewe za juu kabisa, kwanza nimewaza usiku mzima kwamba how comes Rais ni Wa Guam kwanini alindwe na hao wa hapo pembeni?
Kisa Mny*****enge aliyejiweka katika kamji ka kaskazini sehem.moja, sasa anawaamini origin yake ndo wa mlinde
Lkn sio ajabu sana, hata Daudi Mfalme wa Israeli alikuwa na baadhi ya walinzi ambao sio Waisraeli.Mkuu mambo yanasikitisha sana haya, sijui hawa wale wanajeshi wa Guam wanajionaje?
Uongo huuRwandani.Wamemshika pabaya mkulu.
Wageni.wamelaza na usingizi fofofo.
RIP Tanzania.
Huna uwezo wa kufuatulia mambo ya GuamHuu ni upuuzi mwingine, ningekua na mamlaka nyote mnaotangaza huu ushenzi ningewatia mikononi mthibitishe haya na mkishindwa mngejuta
Amen, kwa vile mimi ni mlokole, nitakuweka kwenye sala kwa kufunga na kuomba.
P
Nenda kwanza kahakikishe kama baba yako ndie ndio uje uandike upuuzi wako hapaHuu ni upuuzi mwingine, ningekua na mamlaka nyote mnaotangaza huu ushenzi ningewatia mikononi mthibitishe haya na mkishindwa mngejuta