Rwanda tena nilijua amesema kanchi jirani...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Na ndio maana anastahili kuombewa kwamaana kama mtu unafanya maamuzi hayo ujue hauko sawa.Umechelewa kujua,watu wa Guam tunahitaji kuombewa si kama anavyoomba kuombewa yeye
Read between lines, anyway tuendelee kumuunga mkono raisi wetu kwa jitihada kubwa anazofanya bila kujali kama zinatupeleka mbele au nyumaNa huyu mwenye mawazo kama haya usidhani anatania.
Hivi ndivyo anavyojua na kuamini yeye.
Ni maajabu makubwa, kazi anayoifanya Muumba wetu, kama kweli yupo!
"---wanajeshi wa nchi nyingine wanajikuta wanashindwa kujizuia mpaka wanaamua kuja kuomba ajira kwenye nchi yetu."
Kwa hiyo, kwa vile 'tumepiga hatua sana,' tunaamua kuwapa kazi ya kumlinda mtu wetu aliyetufanya tupige hatua sana!
acha ushamba..walioko off camera maninaKama mwandishi anamaanisha TZ,anaongopa.Mimi nawafahamu baadhi ya vijana wa usalama wanaolinda pale Ikulu.Walio wengi ni wasukuma ambao tulikuwa tunaishi nao hapa Geita.
Hata yule Kanali anayekaa nyuma ya Rais anafahamika ni mtanzania aliyechukua nafasi ya yule Mhehe.
Queen elizabeth ni malkia wa jamaica na ardhi ya jamaica ni yake ni kama vile magufuli ni rais wa bara na znzHata Queen Elizabeth analindwa na Wajamaica
Nikiwaona wanabadilishana zamu Buckingham palace huwa najiuliza hivi baridi hii wanapuliza puli ngapi kwa siku hahaaha
JWTZ mafala sana, wacha wageuzwe makuli wa korosho!Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
Majinga wacha tu yageuzwe makuli wa korosho!Mkuu mambo yanasikitisha sana haya, sijui hawa wale wanajeshi wa Guam wanajionaje?
Acha basi kujishtukia, kwani kasema TZ? Au Guam hupajui...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Njaa mkuuMbona umebadilika sana siku hizi, kulikoni?
Tuaminishe na sisi acha porojo no fact the rest is pumba... No research no right to speak.... Sasa sisi umetuaminishaje kwa huu uzi wako?Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
kuweka kumbukumbu sawa, hii post imekuwa liked na watu watatu.Acheni uchochezi na wivu, nchi yetu imepiga hatua sana mpaka wanajeshi wa nchi nyingine wanajikuta wanashindwa kujizuia mpaka wanaamua kuja kuomba ajira kwenye nchi yetu, hili ni jambo la kupigiwa mfano duniani kote. Hakuna nchi yoyote iliyoweza kuweka "vivutio vya wanajeshi" kama nchi yetu tukufu. Na hizi ni "juhudi" kubwa za raisi wetu mtukufu na sasa ni dhahiri shairi tunaenda kuishinda hii "vita ya kiuchumi".