Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Aisee!
Kama ni kweli, hili ni tatizo!
 
Hizi zote ni story za vijiweni, ba sidhani kama una uhakika na unachosema.

Unawafahamu hao waasi? umekaa nao?

Je wafahamu lengo la uasi wao?

Umeishi huko Vietnam?

Unafahamu kwanini wanajeshi walinda Amani wanavamiwa sana sasa hivi kuliko zamani?
Naomba na mimi nikuulize kidogo je Uhusiano wa Kiongozi wa Guam aliyepita na huyu Kiongozi wa hako kanchi inakosemekana ndio kametoa ulinzi kwa huyu kiongozi wa sasa kule Guam ulikuwaje? na chanzo cha mgogolo wao kilikuwa nini?
 
Naomba na mimi nikuulize kidogo je Uhusiano wa Kiongozi wa Guam aliyepita na huyu Kiongozi wa hako kanchi inakosemekana ndio kametoa ulinzi kwa huyu kiongozi wa sasa kule Guam ulikuwaje? na chanzo cha mgogolo wao kilikuwa nini?

Uhusiano haukuwa sawa khasa baada ya ile kauli ya kiongozi aliepita wa Guam ya mwaka 2013 kwamba huyo kiongozi wa hako kanchi akae meza moja na waasi wa lile kundi, azungumze nao.

Lakini pia kuna mambo mengine mengi tu ambayo watu wa ndani kabisa wanayafahamu na hayawezi kuwekwa mbele ya umma yaani "public domain".

Ila kikubwa ni kwamba nchi hizo mbili zilikuwa katika kugombania kitu chaitwa "sphere of influence" yaani himaya katika eneo la maziwa makuu yanayozunguka kisiwa cha Guam na hako kanchi.

Halafu kuna suala la wakimbizi wa hako kanchi ambao mwaka 2003 walifukuzwa na ile move ikaonekana kwa kiongozi wa hako kanchi kwamba ni politically motivated.

Pia rejea au kama wafahamu mtu mmoja aitwa jina laanzia na P na kuishia na jina la ubini la K ambae alikuwa ni jasusi na alikuwa akiingia sana hapo Guam kuja kupiga soga.

Majasusi wa hako kanchi walikuwa wanamwangalia tu na kumpa taarifa kiongozi wa hako kanchi kwamba jamaa ana ratiba kadha wa kadha huko Guam.

Nafikiri ntakuwa nimekupa dots za kuunganisha.
 
Na usalama wa nchi ya Guam umewekwa rehani.
 
Bora wanyarwanda watuteke tu tuwe sehem ya nchi yao maana naona kagame ana akil kuliko wa kwetu
 
Nchi ya wapiga soga!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…