Nilisubiri u comment mkuuHivyo ni vikosi saidizi au "auxiliary force" au kwa lugha ingine "paramilitary force".
Lakini mbona wanaonekanana wazi?
Sema hawakuwahi kuonekana kwenye hali tofauti ya hewa hapo kisiwani Guam.
Inakubalika kabisa hiyo, khasa baada ya jamaa wale kugundulika mipango yao halisi na jamaa zao wahisani.
Ila mkuu, fuata ushauri wa Pascal.
Inasikitisha sana vijana kuishi kwa Mawazo ya kufikirika,,Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
Tuma tena mkuukwa heshima yako nimefuta!
Mkuu umejibu kwa hekima sana.. Hawa jamaa sijui wanapata wapi taarifa matope kama hizi....Mkuu Britannica, kwanza usiamini kila unachosikia, kuna vingine ni kweli na vingine si kweli, mfano hili la kulindwa na jirani, sii kweli.
Pili sio kila ukweli unaousikia ni lazima uuseme, ukweli mwingine, unasikia na kumezea au kukaushia tuu.
Swali la Morality: Je ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? - JamiiForums
P
pita kimya kama hujaelewa[emoji116] yumkini togwa liliingia maji
kaka mkubwa nawe ukiwa mwoga kiasi hicho, wwngine itakuwaje?Wewe Britannica wewe, Katto akikusikia, shauri yako.
P
Usiwe na wasiwasi mkuu, Fanya utafiti kidogo huyo (super tall) mkuu wa ..chi kadogo hapo kabla alikuwa mnadhimu mwa.....nge wa ..chi jirani, na kikosi maalum kinachomlinda yeye kinatoka kuleeeee kwenye oil/fuel pipeline, nadhani umenielewa. Pia hapo juu "nidasu kusi" walinzi maalum wanatoka oil pipeline.Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
Ninazo kitambo mkuupita kimya kama hujaelewa
Sio uoga bali ni kutoa tuu angalizo.kaka mkubwa nawe ukiwa mwoga kiasi hicho, wwngine itakuwaje?
Sidhani kama hawa wanaweza kukiuka maadili kiasi hicho na kujihusisha na matukio ya kizembe kama hilo unalosema.
Nna uhakika kabisa kwamba ingekuwa ni hawa basi tungekuwa twaongea mengine maana wana uzoefu na mambo kama hayo.
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Nilisubiri u comment mkuu
Btn the lines inabidi wasomaji wapitie hapa wakiunganisha na mabandiko ya Kaka Paskali
kwa heshima yako nimefuta!
Bora wanyarwanda watuteke tu tuwe sehem ya nchi yao maana naona kagame ana akil kuliko wa kwetu
Alikuongopea sana, hizo mbona zipo siku zote sema ulikua hujaziona tu.Pita Pita zangu mtandaon niliona jamaa mmoja ameedit picha moja inayoonesha mfalme hyo wa Guam akilindwa na vijana , wamevalia gwanda Flan iv tofauti na zilizozoeleka... nkafanya uchunguz nkaambiwa hao ni wa ki-nchi Flan iv kidogo dogo Mithili ya kisiwa cha shelisheli. Sasa nkajiuliza sasa huku kutoaminiwa kwa majeshi ya Guam,, itawagharim
UNAWAITA VILAZA WAKATI WABUNGE WENU WAMEENDA KWAO KUJIFUNZA NAMNA YA KUTUNZA PESA ZA SERIKALI KWENYE KAPU MOJA...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Usilolijua ni usiku wa giza, mbaya zaidi kila mtu huamini & kusadiki kile apendacho.Nimesikitika sana sana sana,