Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Ni hao hao unawaowazania sio, tatizo kwa vile utawala wa sheria haufuatwi wanakuwa wanaover confidence na ndio maana wakafanya kizembe kiasi kile kwamba hata wakijulikana hakuna wakuwafanya kitu.
 
Hii habar nina mwaka naisikia, tena aliyenidodosa ni mjeda kabisa. Nilimpinga kwa nguvu zote kuwa hicho kitu hakiwezekan, inavoonekana huko jikon pamechemka jamaa hajiamini. Ila kutusaidia tu ungetutajia hata miongoni mwa watu wawili kama yule jamaa mweupe anayependa onekana kuwa kuwavwanatokea wapi
 
Mkuu concordile, huu ni uongo mtakatifu, sema tuu Mkuu Britannica ana kipaji cha kukubalika, hata akidanganya uongo wake unachukuliwa kuwa ukweli, siamini huu uongo wa bandiko hili umeaminiwa hadi umefika page 20!, jambo hili ni uongo, haliwezekani, kwa sababu mimi mwenyewe tuu hapa ni mjenda, kati ya taasisi inayoongoza kwa vetting ya security ya usalama ni PSU, wanakuja TISS, wanakuja JWTZ ndipo inakuja serikali.
This is next to impossible, but wana jf ni watu wa ajabu kweli, yaani wananwanini Britannica kuliko hata mimi ninayefanya ukweli wangu, tena nilikuwa mjeda!, Unless mimi ni zilipendwa na Britannica naye awe ni wale wale wa sasa waliopo, vinginevyo believe that and you'll believe anything.
P
 
Point yangu sio kwamba naamini unachokisema wala nini hapana. Ukweli uko wazi kuwa tuliyenaye yuko kwa minajiri ya kuangusha uchumi hilo liko wazi, na tena wewe ni mmoja wa wanaomsapoti, katika fuatilia yangu sijaona posts yoyote ambayo inamzungumzia mfalme huyo vibaya ambayo uliwahi kuisapoti namaanisha baada ya 2016. Je kwanini nisiamini ya kuwa kuna walinzi toka rwanda ambao wanamlinda. Maana hata kwa macho tu jinsi mambo yanvoenda hata kma ni mwizi kivipi ila mtanzania, hawez fanya anayoyafanya. Kitu ambacho namaanisha inawezekan na ninaombee isewe kweli, lakin pia siwez kuamini chochote toka kwako, wewe na musiba hamna tofaut. Utofaut unakuja jinsi tu mnavotafuta vyeo.
Nikukumbushe tu pascal hii nchi ikianguka si wewe wala babu yako atakuwa salama haijalishi una phd au triple phd za elimu utafulia tu. Badala ya kulilinda tumbo lako sasa hivi tupigane kuikomboa nchi yetu isiingie katika vurugu.
Bahat mbaya naweza sema unaweza jikuta katika hangaika yako hujawahi gusa nchi zenye vurugu kama Drc,Burundi,south sudan na the like. Nakushaur ebu jaribu tembelea hizo nchi ukimaliza ebu tembelea kwenye kambi za wakimbizi popote dunian uone jinsi wenye elimu zao kama nyinyi walivorostika.
MARA MIA NIMUAMINI BRITTANICAA NA UONGO WAKE AMBAE WALAU ANAONEKANA ANAUMIA NA YANAYOENDELEA HATA KAMA NI MATANGO POLI KULIKO NIKUAMINI PASCAL AMBAE NAJUA KABISA MAANDISHI YAKO YAPO ILI UPATE CHEO
 
Hizi zote ni story za vijiweni, ba sidhani kama una uhakika na unachosema.

Unawafahamu hao waasi? umekaa nao?

Je wafahamu lengo la uasi wao?

Umeishi huko Vietnam?

Unafahamu kwanini wanajeshi walinda Amani wanavamiwa sana sasa hivi kuliko zamani?
Naomba majibu mkuu naona kama nimeguswa,hasa sentensi ya mwisho
 
Kwa uongo huu ningeiomba serikali ifungie JF. Naona sasa inawaharibu watu akili hasa vijana wetu tunao wategemea kulitumikia Taifa letu. JF sio mtandao wa kuelimishana na kuchangia maoni ya maendeleo kwa nchi yetu bali umekuwa mtandao wa kupumbaza akili. Ni mtandao hathari sana kwa amani na umoja wa Watanzania.

Maoni yagu!
 
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Endelea kuamini hivyo, hizo sisi tunazo siku nyingi mbona?
 
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama

Aliyekwambia ni nchi hii ni nani?
 
vitu vingine ni vya kipuuzi kwaiyo jamaa yeye ndo anachagua walinzu? mbona mpambe alitoka alikuwa wa jk na huyu mpya alipangiwa tu alafu kuna walinzi wawili wapo toka kipindi chakampen
 
Basi nadhani 4040 hatarudi !
 
ukifungwa haya maoni yako ungeyaandika wap
 
..na kwanini wanajeshi wa Guam wakipoteza maisha wakiwa kazini amiri jeshi mkuu huwa hashiriki kutoa heshima na kuwaaga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…