Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Hii sio hadithi ya magu kulindwa na jeshi la rwanda imeongelewa kwa codes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hao hao unawaowazania sio, tatizo kwa vile utawala wa sheria haufuatwi wanakuwa wanaover confidence na ndio maana wakafanya kizembe kiasi kile kwamba hata wakijulikana hakuna wakuwafanya kitu.Sidhani kama hawa wanaweza kukiuka maadili kiasi hicho na kujihusisha na matukio ya kizembe kama hilo unalosema.
Nna uhakika kabisa kwamba ingekuwa ni hawa basi tungekuwa twaongea mengine maana wana uzoefu na mambo kama hayo.
Ila wapo au walikuwepo watu wa aina hiyo na ambao mpaka naandika haya, walikusanywa kisha wakapelekwa kwenye kile kisiwa chengine mbali kidogo na kisiwa chetu cha Guam.
Ndo maana mpaka dakika hii hakuna na hatujasikia tena matukio kama ya kule kwenye wilaya Tamun ambako kuna mto unaomwaga maji yake kwenye bahari ya Pacific, kupora mabenki na kuvamia vituo vya polisi.
Muulize Brittania jina la kile kisiwa chengine..
Hii habar nina mwaka naisikia, tena aliyenidodosa ni mjeda kabisa. Nilimpinga kwa nguvu zote kuwa hicho kitu hakiwezekan, inavoonekana huko jikon pamechemka jamaa hajiamini. Ila kutusaidia tu ungetutajia hata miongoni mwa watu wawili kama yule jamaa mweupe anayependa onekana kuwa kuwavwanatokea wapiNo hii issue haziwezi kuwa kweli, hivyo nilikuwa namwambia jamaa asiamini kila anacho ambiwa, vingine ni matango pori kama hili.
Ila jamaa Britannica ana kipaji cha kutunga uongo mkubwa sana kama huu na kuaminika, bandiko linakwenda page 10, mimi nilidhani likifika page 2 ni bahati
P.
Mkuu concordile, huu ni uongo mtakatifu, sema tuu Mkuu Britannica ana kipaji cha kukubalika, hata akidanganya uongo wake unachukuliwa kuwa ukweli, siamini huu uongo wa bandiko hili umeaminiwa hadi umefika page 20!, jambo hili ni uongo, haliwezekani, kwa sababu mimi mwenyewe tuu hapa ni mjenda, kati ya taasisi inayoongoza kwa vetting ya security ya usalama ni PSU, wanakuja TISS, wanakuja JWTZ ndipo inakuja serikali.Hii habar nina mwaka naisikia, tena aliyenidodosa ni mjeda kabisa. Nilimpinga kwa nguvu zote kuwa hicho kitu hakiwezekan, inavoonekana huko jikon pamechemka jamaa hajiamini. Ila kutusaidia tu ungetutajia hata miongoni mwa watu wawili kama yule jamaa mweupe anayependa onekana kuwa kuwavwanatokea wapi
Point yangu sio kwamba naamini unachokisema wala nini hapana. Ukweli uko wazi kuwa tuliyenaye yuko kwa minajiri ya kuangusha uchumi hilo liko wazi, na tena wewe ni mmoja wa wanaomsapoti, katika fuatilia yangu sijaona posts yoyote ambayo inamzungumzia mfalme huyo vibaya ambayo uliwahi kuisapoti namaanisha baada ya 2016. Je kwanini nisiamini ya kuwa kuna walinzi toka rwanda ambao wanamlinda. Maana hata kwa macho tu jinsi mambo yanvoenda hata kma ni mwizi kivipi ila mtanzania, hawez fanya anayoyafanya. Kitu ambacho namaanisha inawezekan na ninaombee isewe kweli, lakin pia siwez kuamini chochote toka kwako, wewe na musiba hamna tofaut. Utofaut unakuja jinsi tu mnavotafuta vyeo.Mkuu concordile, huu ni uongo mtakatifu, hili jambo haliwezekani, kwa sababu mimi mwenyewe tuu hapa ni mjenda, kati ya taasisi inayoongoza kwa vetting ya security ya usalama ni PSU, wanakuja TISS, wanakuja JWTZ ndipo inakuja serikali.
This is next to impossible, but wana jf ni watu wa ajabu kweli, yaani wananwanini Britannica kuliko hata mimi ninayefanya ukweli wangu, tena nilikuwa mjeda!, Unless mimi ni zilipendwa na Britannica naye awe ni wale wale wa sasa waliopo, vinginevyo believe that and you'll believe anything.
P
Naomba majibu mkuu naona kama nimeguswa,hasa sentensi ya mwishoHizi zote ni story za vijiweni, ba sidhani kama una uhakika na unachosema.
Unawafahamu hao waasi? umekaa nao?
Je wafahamu lengo la uasi wao?
Umeishi huko Vietnam?
Unafahamu kwanini wanajeshi walinda Amani wanavamiwa sana sasa hivi kuliko zamani?
Kwa uongo huu ningeiomba serikali ifungie JF. Naona sasa inawaharibu watu akili hasa vijana wetu tunao wategemea kulitumikia Taifa letu. JF sio mtandao wa kuelimishana na kuchangia maoni ya maendeleo kwa nchi yetu bali umekuwa mtandao wa kupumbaza akili. Ni mtandao hathari sana kwa amani na umoja wa Watanzania.Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
Endelea kuamini hivyo, hizo sisi tunazo siku nyingi mbona?...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Wewe Britannica wewe, Katto akikusikia, shauri yako.
P
Basi nadhani 4040 hatarudi !Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
Unadhani ni nani aliyewatuma au kuwashawishi kwenda huko, kama siyo mfalme wa Guam? Hivi Tanzania ina cha kujifunza kutoka kule?
ukifungwa haya maoni yako ungeyaandika wapKwa uongo huu ningeiomba serikali ifungie JF. Naona sasa inawaharibu watu akili hasa vijana wetu tunao wategemea kulitumikia Taifa letu. JF sio mtandao wa kuelimishana na kuchangia maoni ya maendeleo kwa nchi yetu bali umekuwa mtandao wa kupumbaza akili. Ni mtandao hathari sana kwa amani na umoja wa Watanzania.
Maoni yagu!