Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Mkuu,

Hiyo sentensi yako ya pili haikua na haja ya kuwepo kama ulichokisema ktk sentensi ya kwanza kina ukweli.Kitendo cha kusema hiyo sentensi ya pili kinaonesha wewe mwenyewe hauamini ulichokisema kwenye sentensi ya kwanza.
Bradha, nimesoma tena na tena nikajikuta bado niko right kuwa
1. Usiamini kila unachosikia kuna vingine ni kweli na vingine ni sii kweli.
2. Sio kila ukweli unaousikia ni lazima uuseme, kuna ukweli mwingine unausikia na kabla ya kuusema, unapiga hesabu ya maslahi ya ukweli huo kujulikana, ukiona hauna maslahi, unaupotezea au una kumezea.

Dogo, kula darasa hapa
Swali la Morality: Je ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? - JamiiForums
P
 
Kweli nkuu mweyewe nimepita pale Jana jioni nikaona Jamaa mwenye gwanda tofauti na machine moja matata sana yupo huku road la chini mkabala na maji chumvi
 
Ajabu ipo wapi mbona mwalimi nyerere alikuwa analindwa na polisi wa North korea miaka ya 80 kipindi coup zilikuwa zinashamiri
haiwezekani kabisa, kwanza katiba haiuruhusu halafu watakuwa chini ya nani? who is their Commander in chief? halafu CDF wa pale Guam ana mamlaka nao?!?
 

Tricky!
 
haiwezekani kabisa, kwanza katiba haiuruhusu halafu watakuwa chini ya nani? who is their Commander in chief? halafu CDF wa pale Guam ana mamlaka nao?!?
Mkuu bado tuu unatumia kauli ya katiba hairuhusu?Aisee, kazi ipo sana.
 
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Aisee, Guam ndio unaoisema wewe kumbe
 
We paskali ni ajabu sana, Kama ulisikia mpaka bungeni wanalalamika kwenye ule Ukuta wa Berlin wapo wanaulinda watashindwaje kumlinda?
Mkuu Mahanju, sisi wengine ni kama Tomaso, hatuamini baadhi ya vitu hadi tuletewe uthibitisho.

Kwa vile Britannica ni muongo muongo na mzushi toka zamani, usiamini kila anachosema, aliwahi kuleta uongo humu wa kumbadili jina na kabila kiongozi fulani, ambaye kabila lake ni Msukuma, Britannica akambadili kabila kwa kumpachika Uhaya, akampachika na jina la Kihaya kuwa anaitwa Katto. Mode wakaufuta uzi ule. Hivyo usimuamini sana Britannica.
P
 
Ulichokisema ni kweli mkuu(Bila kuspecify mazingira au jambo linalozungumziwa).

Point yangu katika uzi huu(mazingira haya) ni kana kwamba ulikua unamwambia jamaa kwamba hii issue ni kweli ila sio kila ukweli unasemwa.
 
Sijui ni lina wataingiza uwongo kwenye Olympics! Tanzania tutazoa medali zote kwenye hili eneo. Tuko vizuri.
 
Ulichokisema ni kweli mkuu(Bila kuspecify mazingira au jambo linalozungumziwa).

Point yangu katika uzi huu(mazingira haya) ni kana kwamba ulikua unamwambia jamaa kwamba hii issue ni kweli ila sio kila ukweli unasemwa.
No hii issue haziwezi kuwa kweli, hivyo nilikuwa namwambia jamaa asiamini kila anacho ambiwa, vingine ni matango pori kama hili.
Ila jamaa Britannica ana kipaji cha kutunga uongo mkubwa sana kama huu na kuaminika, bandiko linakwenda page 10, mimi nilidhani likifika page 2 ni bahati
P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…