Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 976
- 1,712
Unene karaha aisee, mda mwingine unashindwa hata kufunga kamba za viatu
Sex ilikuwa naikimbia mwenyewe, nilitunukiwa na mtoto wa ki-ghana aisee akaja ghetto ghafla bin vuuh, aisee nilipiga viwili kitabu sana.
Asili ya mwili wangu ni mwembamba na nilikuwa bize na kazi no relationship, no mazoezi ni kazi tu , mpaka hamu ya tendo ikapungua nikawa singo Kwa mda mrefu, kula tu ovyo ovyo mwili ukaja, jina la kibonge nikavatizwa mtaani kote
Ilikuwa ikinipa tabu ila nilikuwa naona poa tu, baadae nikasema huu sio mwili ngoja nianze kuupunguza, mtaani walikuwa wananambia nimependeza et nimependeza kuwa kibonge
Nilikuwa nashindwa kukimbia Kwa dk 40 , naishia dk 5 tu nimechoka hoi, wakati katika ubora wangu naikimbia mbio za mda wa dk 120, zoezi likaanza la kuupunguza mwili
Kupunguza kula, kuchagua nakula Nini? Mazoezi kila siku, kupumzika, aisee bila mwalimu nimejipiga mchaka mchaka mwenyewe
Mwili ukaanza kupungua, na mzuka wa mazoezi ukaingia mwilini, ni mwendo tu wa mazoezi nikafika mpaka kilo 80 nikaenda mpaka Sasa nna 71, baadhi ya Wana jamaii wananambia nimekonda labda itakuwa naumwa, aisee ubonge sio uzima Kama wengi wanavyofikiria
Nilikuwa nikipata kidemu goli mbili za dk 2,2 namaliza ila Sasa akiingia miziki yangu anaombea maji ya kunywa Kwa vidole Kwa kuonyesha yalipo.
Unene wa kupitiliza ni ugonjwa wakuu, na wembamba sio uzima wa uhakika unaweza kuwa bonge wa wastani usiwe mgonjwa na unaweza ukawa mwembamba ukawa mgonjwa vile vile inategemeana
Ila jamaii zetu zinaweza kukupa stress Kwa mambo yaliyo ndani Yako kama haujawa poa kisaikolojia