Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 976
- 1,712
- Thread starter
- #41
Polee mkuu
Mimi ni mwembamba na nina shida lukuki za afya, ndugu zangu ni wanene yani matembo hadi wanafika on their 60's hawajawahi kujua hata kituo cha afya taratibu zake zikoje.
Ukisikia unene elewa yani kuanzia kg 130
Mimi hata kg 70 sina hekaheka nilizonazo ni balaa