min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kunywa kunyogi bwashee unatakata mbayaMimi nahangaika kujifanya sura yangu ipugue mwonekano WA kizee,jamani nifanyeje naitwa Babu Nina 49 years
Kunywa kunyogi bwashee unatakata mbayaMimi nahangaika kujifanya sura yangu ipugue mwonekano WA kizee,jamani nifanyeje naitwa Babu Nina 49 years
Nani kakwambia uwembamba ni afya?Yeah wagonjwa (wanene) mitaani wanapongezwa wanaonekana wana afya njema huku wenye afya njema (wembamba) wanaonekana wagonjwa.
Piga tizi mpaka ndugu akikuona unakuja kwa mbali kama alipanga akukope akukimbie akijua wewe ndiye unataka kumkopa,mwili mkubwa siyo Ishu kabisa.
Chai kwamba haiwezekani mtu kupungua uzito kutoka 120+ to 70s?
Mimi nilikuwa na 86.7Kg sasa nimefika 73.4 nakaza zifike angalao 68kg ni juhudi zako tu kukimbia hakuwezi kukunyima matokeo mazuri.
Aisee sio mchezo , amepambana Kwa mda mfupi sana mimi kwa miez 8 , aisee miezi mitatu tu sio mchezoHongera kwasababu si swala dogo kupunguza kilo kwa kiwango hicho ni commitment ya hatari. Unanikumbusha David Goggings ni former Navy SEAL alikuwa na Pauni 297 ambayo ni karibu kilo 135.
Baada ya kuambiwa kuwa alikuwa mzito sana kujiunga na Navy SEALs, aliamua kubadilisha maisha yake.
Katika takriban miezi 3 (karibu siku 90):
Alipunguza uzito kutoka 135 kg hadi karibu 86 kg.
Hivyo alipunguza karibu kilo 49.
Alifanya hivyo kwa lishe kali sana,
mazoezi ya muda mrefu ya kukimbia na kuendesha baiskeli,
kuogelea,
na kujenga nidhamu ya kila siku.
Umepambana Mkuu, huwa mazoezi aina gani? Hasa unafanya zaidiChai kwamba haiwezekani mtu kupungua uzito kutoka 120+ to 70s?
Mimi nilikuwa na 86.7Kg sasa nimefika 73.4 nakaza zifike angalao 68kg ni juhudi zako tu kukimbia hakuwezi kukunyima matokeo mazuri.
Yani siyo mchezo kwasababu alipewa target hiyo na moja ya wakufunzi na alikuwa anataka sana kwenda BUD's (selection yao ya kuwa SEAL ) kwahiyo aliona ni chance ya kipekee kwasababu walimkataa kutokana na uzito aliokuwa nao.Aisee sio mchezo , amepambana Kwa mda mfupi sana mimi kwa miez 8 , aisee miezi mitatu tu sio mchezo
Ukiweka ubishi kando utagundua ukiondoa wembamba wa maradhi hakuna mwenye afya mnene ambaye hafanyi mazoezi.Nani kakwambia uwembamba ni afya?
Inategemea unene WA sehemu gani, unene #urefu na uzitoUkiweka ubishi kando utagundua ukiondoa wembamba wa maradhi hakuna mwenye afya mnene ambaye hafanyi mazoezi.
Nakazia siyo kila wembamba ni afya lakini unene kwa style yoyote ni maradhi.
Lipia tangazoUnene karaha aisee, mda mwingine unashindwa hata kufunga kamba za viatu
Sex ilikuwa naikimbia mwenyewe, nilitunukiwa na mtoto wa ki-ghana aisee akaja ghetto ghafla bin vuuh, aisee nilipiga viwili kitabu sana.
Asili ya mwili wangu ni mwembamba na nilikuwa bize na kazi no relationship, no mazoezi ni kazi tu , mpaka hamu ya tendo ikapungua nikawa singo Kwa mda mrefu, kula tu ovyo ovyo mwili ukaja, jina la kibonge nikavatizwa mtaani kote
Ilikuwa ikinipa tabu ila nilikuwa naona poa tu, baadae nikasema huu sio mwili ngoja nianze kuupunguza, mtaani walikuwa wananambia nimependeza et nimependeza kuwa kibonge
Nilikuwa nashindwa kukimbia Kwa dk 40 , naishia dk 5 tu nimechoka hoi, wakati katika ubora wangu naikimbia mbio za mda wa dk 120, zoezi likaanza la kuupunguza mwili
Kupunguza kula, kuchagua nakula Nini? Mazoezi kila siku, kupumzika, aisee bila mwalimu nimejipiga mchaka mchaka mwenyewe
Mwili ukaanza kupungua, na mzuka wa mazoezi ukaingia mwilini, ni mwendo tu wa mazoezi nikafika mpaka kilo 80 nikaenda mpaka Sasa nna 71, baadhi ya Wana jamaii wananambia nimekonda labda itakuwa naumwa, aisee ubonge sio uzima Kama wengi wanavyofikiria
Nilikuwa nikipata kidemu goli mbili za dk 2,2 namaliza ila Sasa akiingia miziki yangu anaombea maji ya kunywa Kwa vidole Kwa kuonyesha yalipo.
Unene wa kupitiliza ni ugonjwa wakuu, na wembamba sio uzima wa uhakika unaweza kuwa bonge wa wastani usiwe mgonjwa na unaweza ukawa mwembamba ukawa mgonjwa vile vile inategemeana
Ila jamaii zetu zinaweza kukupa stress Kwa mambo yaliyo ndani Yako kama haujawa poa kisaikolojia
Zoezi langu linalonipa matokeo mazuri hasa ni kukimbia,narashia na squat na push ups basi.Umepambana Mkuu, huwa mazoezi aina gani? Hasa unafanya zaidi
Mimi ni mwembamba na nina shida lukuki za afya, ndugu zangu ni wanene yani matembo hadi wanafika on their 60's hawajawahi kujua hata kituo cha afya taratibu zake zikoje.Ukiweka ubishi kando utagundua ukiondoa wembamba wa maradhi hakuna mwenye afya mnene ambaye hafanyi mazoezi.
Nakazia siyo kila wembamba ni afya lakini unene kwa style yoyote ni maradhi.
Mimi nahangaika kuifanya sura yangu ipungue mwonekano WA kizee, jamani nifanyeje naitwa Babu Nina 49 years
Kipimo sahihi ni kupitia Body Mass Index.Nani kakwambia uwembamba ni afya?