Nilikuwaga mnene/ubonge kilo 127 nikapunguza uzito mpaka kilo 71, baadhi ya watu wananisema nimekonda

Nani kakwambia uwembamba ni afya?
 
Sijui uchai wake upo wapi? Mwili/uzito mkubwa sio rafiki kabsa

Kuruka tu mfereji wa sentimita kadhaa unashindwa na ikitokea umejitahidi kuuruka, unahema juu juu
Chai kwamba haiwezekani mtu kupungua uzito kutoka 120+ to 70s?

Mimi nilikuwa na 86.7Kg sasa nimefika 73.4 nakaza zifike angalao 68kg ni juhudi zako tu kukimbia hakuwezi kukunyima matokeo mazuri.
 
Hongera kwasababu si swala dogo kupunguza kilo kwa kiwango hicho ni commitment ya hatari. Unanikumbusha David Goggings ni former Navy SEAL alikuwa na Pauni 297 ambayo ni karibu kilo 135.
Baada ya kuambiwa kuwa alikuwa mzito sana kujiunga na Navy SEALs, aliamua kubadilisha maisha yake.

Katika takriban miezi 3 (karibu siku 90):
Alipunguza uzito kutoka 135 kg hadi karibu 86 kg.
Hivyo alipunguza karibu kilo 49.

Alifanya hivyo kwa lishe kali sana,
mazoezi ya muda mrefu ya kukimbia na kuendesha baiskeli,
kuogelea,
na kujenga nidhamu ya kila siku.
 
Aisee sio mchezo , amepambana Kwa mda mfupi sana mimi kwa miez 8 , aisee miezi mitatu tu sio mchezo
 
Chai kwamba haiwezekani mtu kupungua uzito kutoka 120+ to 70s?

Mimi nilikuwa na 86.7Kg sasa nimefika 73.4 nakaza zifike angalao 68kg ni juhudi zako tu kukimbia hakuwezi kukunyima matokeo mazuri.
Umepambana Mkuu, huwa mazoezi aina gani? Hasa unafanya zaidi
 
Aisee sio mchezo , amepambana Kwa mda mfupi sana mimi kwa miez 8 , aisee miezi mitatu tu sio mchezo
Yani siyo mchezo kwasababu alipewa target hiyo na moja ya wakufunzi na alikuwa anataka sana kwenda BUD's (selection yao ya kuwa SEAL ) kwahiyo aliona ni chance ya kipekee kwasababu walimkataa kutokana na uzito aliokuwa nao.
 
Lipia tangazo
 
Ukiweka ubishi kando utagundua ukiondoa wembamba wa maradhi hakuna mwenye afya mnene ambaye hafanyi mazoezi.

Nakazia siyo kila wembamba ni afya lakini unene kwa style yoyote ni maradhi.
Mimi ni mwembamba na nina shida lukuki za afya, ndugu zangu ni wanene yani matembo hadi wanafika on their 60's hawajawahi kujua hata kituo cha afya taratibu zake zikoje.

Ukisikia unene elewa yani kuanzia kg 130

Mimi hata kg 70 sina hekaheka nilizonazo ni balaa
 
14 km safi sana hapo unakuwa umechoma mafuta mengi sana
Zoezi langu linalonipa matokeo mazuri hasa ni kukimbia,narashia na squat na push ups basi.

Nimejitengea siku tatu kwa wiki kukimbia 14km per day so far yananisaidia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…