Mimi ni mwembamba na nina shida lukuki za afya, ndugu zangu ni wanene yani matembo hadi wanafika on their 60's hawajawahi kujua hata kituo cha afya taratibu zake zikoje.
Niliacha kula tu vyakula nilivyoviingiza kwenye mfumo wangu wa kula, na nikapunguza kula , mazoezi makubwa yalikuwa ya kukimbia tu, maji mengi kabla ya mazoezi, kupumzika pia