RockCarnegie
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 963
- 1,927
Simu ulikuwa unabonyeza wewe au yeye??Katuambia toa simu yako kisha bonyeza....... Hapo hukuona kama tumelazimishwa?
Nimesikia kuwa baada ya kuona watu wanachangia, mkakata mtandao!! CCM waoga sana...
Simu ulikuwa unabonyeza wewe au yeye??
Hata kama ni kushurutishwa. Kumbuka hukushikiwa panga au silaha ya moto kwamba ni lazima utoe. Ni wewe na maamuzi yako utoe au usitoe.Alisema toa simu yako kisha bonyeza.....
Hapo huoni kama katushurutisha??
Hata kama ni kushurutishwa. Kumbuka hukushikiwa panga au silaha ya moto kwamba ni lazima utoe. Ni wewe na maamuzi yako utoe au usitoe.
TBC wameondoka kabla lissu hajapanda jukwaani saa 11 jioni, TBC tumewaondoa kipindi mbowe anaongea
Tatizo hhwa hamuhudhurii ila kelele tu ndio nyingi
Uache kufanya yamaana uwatumie pesa Wasaliti wa Taifa hiliMm tulikuwa na jamaa zangu, tukasema hakuna network
Kiuhalisia network ilikuwepo na tulikuwa online jamii forum
Naongelea mtandao wa simu siyo TBC. Kwenu huko mnatuma pesa kupitia mtandao wa TBC?
Eeh, sasa huna haja ya kulalamika.Kweli na ndio maana tukamuambia hakuna network
Uache kufanya yamaana uwatumie pesa Mamluki na Wasaliti wa Taifa hili
Umerogwa
Ulifanya vizuri
Eeh, sasa huna haja ya kulalamika.
Unaonekana mamluki.
Haya sawa.Hakuna umamluki wowote, sisi ukizingua unachanwa tu na ndio maana ya kiwa chama makini
Lakini hakuna alietishiwa kwamba asipotoa simu yake ataadhibiwa kwa namna yoyote ndio maana mimi sijatoa simu na bado sijadhurikaAlisema toa simu yako kisha bonyeza.....
Hapo huoni kama katushurutisha??
Lakini hakuna alietishiwa kwamba asipotoa simu yake ataadhibiwa kwa namna yoyote ndio maana mimi sijatoa simu na bado sijadhurika
Acheni habari zenu, kama uliona hutaki kuchanga ungesepa au ungeficha simu yako hata kwenye brazia wala hakuna ambae angekupiga risasi
Wewe na nani kwa mfanp hamna pesa, maana watu wamechanga, sema wewe na lumumba wenzio pamoja na cuf ndio hamna hela sio CDMIla nadhani somo kalipata kuwa hatuna pesa
Wewe na nani kwa mfanp hamna pesa, maana watu wamechanga, sema wewe na lumumba wenzio pamoja na cuf ndio hamna hela sio CDM