Uchaguzi 2020 Nilikuwepo kwenye mkutano, sijapenda kuchangishwa fedha kinguvu

Uchaguzi 2020 Nilikuwepo kwenye mkutano, sijapenda kuchangishwa fedha kinguvu

Leo kama kawaida niliwahi mapema sana kwenye mkutano kusikiliza sera za mgombea wetu.

Mengi ameeleza vizuri sana japo kuna ambayo ameyarudia rudia sana.

Kingine nilichopenda ni muda wa mgombea umekuwa mrefu sana kapata karibu saa nzima tofauti na 2015 kipindi cha lowassa ambae alikuwa anaongea dakika 3 tu.

Ila katika yote kubwa ni hili la kutaka kuchangishwa fedha kilazima/kinguvu. Mgombea wetu anatuambia "haya toeni hizo simu zenu za mchina, bonyeza *150*00# kisha chagua namba 4 kisha......"

Baadhi tuliokuwa hapo tukajiuliza kajuaje tuna pesa kwenye simu? Kwa kuzuga tukamjibu hakuna network, akasikia.

HATUJAPENDA HII, WEKENI NAMBA AU ACCOUNT KWA MUDA MTU ATAOTAKA KUCHANGA ATAWACHANGIA.
This is really pathetic! Chama kikubwa cha siasa wanashindwa kutengeneza pay bill number kuwezesha wachangia ku ili deposit hela kirahusi??
 
Kweli aisee,
Kuna jamaa yangu alianza kufatisha ghafla akasikia chagua namba 4, kumbukumbu namba weka CDM2020, ghafla weka kiasi, ghafla password...... Jamaa akashtuka nkaona anaitia simu mfukoni
Kumbe hadi kuchangishana? Hii kali aisee, ruzuku wamegawana na kununua magari ya kifahari leo wanawachangisha masikini, kauli ya mwenye nacho anaongezewa na masikini ananyang'anywa kile kidogo alichonacho.
 
This is really pathetic! Chama kikubwa cha siasa wanashindwa kutengeneza pay bill number kuwezesha wachangia ku ili deposit hela kirahusi??
Imagine kipindi cha Lowassa walipata wabunge wengi sana. Wameshindwa hata kuanzisha TV. Hata kujenga majengo wapangishe ili wapate vyanzo vingine vya pesa. Chadema leo wameniangusha kabisa. Unajua hata kama hawana dola wanatakiwa basi wafanye efforts tuone kweli hawa they are trying. Organisation ni zero.
 
Tupo tayari kusikiliza sera zake, ila pesa HATUNA

Kwani mlilazimishwa? Kwani hata msiposikiliza sera zake yupo anayewahitaji?

Maafisa vipenyo, mbona mtajitambulisha wenyewe.

Mdogo mdogo mbona tutawajua wote.
 
Kweli aisee,
Kuna jamaa yangu alianza kufatisha ghafla akasikia chagua namba 4, kumbukumbu namba weka CDM2020, ghafla weka kiasi, ghafla password...... Jamaa akashtuka nkaona anaitia simu mfukoni
Kuchangisha? Hiki chama na Mbowe ni wapigaji sana, yaani huyu mmachame ni mpigaji hatari.
 
Wana account CRDB, kuna jamaa yangu alianza kufatisha ghafla akasikia chagua namna 4, kumbukumbu namba weka CDM2020, ghafla weka kiasi, ghafla password...... Jamaa akashtuka nkaona anaitia simu mfukoni
Duh mi nimeshawatuma 7800
 
Huyu hata kampeni hatomaliza
Siku ya kwanza tu bakuli?
 
Acha uongo

Vitu vya hiyari havijawahi hata siku moja kulazimishwa!

Kuchangia ni hiyari ya mtu,hamna mtu anaweza kua coerced kuchangia vitu vya hiyari!

Na iwe coercion lazima kuwe na enforcing unit,ije kulazimoisha watu kwa nguvu,vyama vya hiyari havina hizo.

Serikali ndio ina upumbavu huu!

Punguza unafiki


Wanawake hua ni kawaida yetu kuwa na wivu na unafki .msamehe
 
Back
Top Bottom