Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
Bavicha huwa wanatamba Mbowe ni tajiri tangu enzi za Nyerere lakini kila unapofika uchaguzi Chadema huwa hoi sana kipesa kwenye kampeni!!
Mfano uzinduzi wa kampeni leo ni hovyo kabisa na ni dhahiri chadema hawana pesa.
Je, utajiri wa Mbowe una manufaa gani kwa Chadema?
Mfano uzinduzi wa kampeni leo ni hovyo kabisa na ni dhahiri chadema hawana pesa.
Je, utajiri wa Mbowe una manufaa gani kwa Chadema?