Angalau na hatimaye, tena kwa unyonge Mkuu
BAK unajitosa jukwaani kwamba upo. Kama uzinduzi ungekuwa na mafuriko hakika JF ingejaa bandiko za shangwe.
Ukweli, kama mada ilivyo, na nilikwisha toa angalizo mapema, hazina ya CHADEMA imesafishwa kitambo na kuvunjwa vipande vipande katika kugharamia mikutano isiyo na tija ya Lissu, mgombea wao, kutafuta wadhamini.
Sasa, viongozi wa CHADEMA wanafuta njia ya kujinasua na aibu kwa matamshi ya kuchochea vurugu. Ila wajifunze kwa jinsi Serikali ilivyokaa kimya Lissu akizunguka mikoani huku akimwaga kejeli na dharau kubwa dhidi ya viongozi wake na dini.